Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Ni kosa la mwanae...acha kubebesha watu mizigo isiyostahili
Mburula huyo anajitoa akiliUkikaa nyuma ya keyboard usisahau kuhusu ubinadamu wako. Muda mwingine usitake kuthibitisha una akili maana kuna matukio yanahitaji busara na hekma na mtu mzima kuzikosa hizi ni kuwa hopeless.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuwa shetani mara hii...
Nayo habari kwani kuna wangapi wamekufa leo ujinga tu huu na uchinganishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna aliyemchongea Kabendera nasikia , nadhani sasa amefurahi. Ameanza mwaka mpya na furaha. Lakini ajue na yeye laana hii haitomuacha salama! Pascal Mayalla .
KARMA DOESN'T FORGETMama mzazi wa mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019.
Amefariki akiwa Hospitali ya Amana alikokuwa akip
View attachment 1308015
Soma pia: Mama Mzazi wa Erick Kabendera amuomba Rais Magufuli kumsamehe mwanae
Kuna aliyemchongea Kabendera nasikia , nadhani sasa amefurahi. Ameanza mwaka mpya na furaha. Lakini ajue na yeye laana hii haitomuacha salama! Pascal Mayalla .
Mungu wangu ninayemwabudu naomba aongeze mapigo katika dua mbaya hii.MUNGU amuweke mahala pema mama Kabendera..mnaosababisha mama zetu wafe kwa mawazo mlaaniwe vizazi vyenu vyote, mama zenu, shangazi zenu, binamu zenu, watoto wenu, wajukuu zenu na mpaka kuku wenu wafe pia kama ambavyo wamekufa ndugu zetu kwa sababu zenu!
johnthebaptist USSR Kawe Alumni nadhani leo mna furaha tele mioyoni mwenu na mnaanza mwaka mpya kwa furaha tele moyoni! Lkn mjue laana hii haitowaacha salama! Soma komenti, kila mmoja anawalaumu na kuwakemea kwa jina la Yesu mpatilizwe !Dah... so sad!!
Magufuli Magufuli hapa duniani wote tutapita, uwe na hofu ya Mungu na ukumbuke kuwa hata wewe umeumbwa kwa moyo wenye nyama...!
Kwamfano ungesikia kilio cha huyu bibi ungepungukiwa nini kwenye utawala wako?
Amini amini nakwambia mjomba John kifo cha huyu bibi umeki accelerate wewe, vilio na majonzi ya wanandugu wote viko juu yako ww.
John kumbuka Yesu pale msalabani licha ya maumivu makali na mateso aliyopata lakini alimsamehe mharifu aliyekuwa amehangikwa msalabani!
Magufuli siyo wewe uliyemtoa gerezani Babu seya mlawiti?!!