TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

Kina musiba na vibaraka wengine Leo kwao ni furaha maana furaha yao ni kuona machozi na huzuni ya wengine.
 
MUNGU amuweke mahala pema mama Kabendera..mnaosababisha mama zetu wafe kwa mawazo mlaaniwe vizazi vyenu vyote, mama zenu, shangazi zenu, binamu zenu, watoto wenu, wajukuu zenu na mpaka kuku wenu wafe pia kama ambavyo wamekufa ndugu zetu kwa sababu zenu!
Mwanzo 27:29,Mataifa na wakutumikie Na makabila wakusujudie, Uwe bwana wa ndugu zako, Na wana wa mama yako na wakusujudie. ATAKAYE KULAANI ALAANIWE, Na atakayekubariki abarikiwe...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R.I.P mama yetu, kama ilivyoandikwa katika Biblia Takatifu:
Warumi 12:19
19 Wapendwa, msijilipizie kisasi, bali mtoe nafasi kwa ghadhabu ya Mungu, maana imeandikwa:“Kisasi ni juu yangu; Mimi nitalipa, asema Bwana.
 
Wewe britanicca si ulikua mnazi wa upande wenye makali ya nchi?
Vipi umekengeuka tena?
Watageuka wote ni muda tu, wewe wasubirie kila Jambo huwa na mwisho wanaoshabikia ujinga Kwa kumfananisha mtu na MUNGU iposiku watajua kuwa wanatetea shetani wewe subiri, kumbuka Mwaka 2016 had 2017 kulikuwa na vijana humu waliokuwa wanatetea utawala had ukipinga tu wanakushambulia Kama nyuki na ndio waliotawala hili jukwaaa miaka hiyo walipatizwa book Saba toka lumumumba 2018 walipuputika Kama majani ya muembe kipindi cha kiangazi maaana walikuwa wanatumiwa na mwigulu, makamba, nape, na wengne ambae bado wako kwenye nafas hivi hao vijana humu unawaona? Hawapo wamebaki vijana wa makonda tu humu tena wachache Sana nao watageuka mmoja had mwingne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichokigundua Kwa sasa nikuwa 2020 wakijitokeza wanaharaka wa kweli na Uchaguzi ukafanyika wa haki na uhuru na watu wakanadhi sera Kwa uhuru na akasimama magufuli na membe, Nina Uhakika membe anapata kura Kwa asilimia 80

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo na wewe unaamini Erick alitakatisha pesa na kuhujumu uchumi, na upelelezi wa kesi yake ni mgumu sana kukamilika, na kwamba wako sawa wanavyoipiga danadana kesi yake? Ubarikiwe mkuu kwa mawazo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unambariki wa nini? Alaaniwe yeye na mkundyu wake
 
Teh [emoji23][emoji23][emoji28]
Ila paskali [emoji57][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
P
 
Kama kweli wewe ndo uliemchongea Erick basi karma itaanza na wewe.
P
 
Oh!! RIP Mama, Dini zinasisitiza msamaha, lkn ni ngumu kuachilia. Natamani Mama hali uliyokuwa naye mungu akalipe sawasawa na ulivyoumia.
 
Bwana ametoa,Bwana ametwa jina la Bwana lihimidiwe Amen.
Screenshot_20191231-103454_Instagram.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watageuka wote ni muda tu, wewe wasubirie kila Jambo huwa na mwisho wanaoshabikia ujinga Kwa kumfananisha mtu na MUNGU iposiku watajua kuwa wanatetea shetani wewe subiri, kumbuka Mwaka 2016 had 2017 kulikuwa na vijana humu waliokuwa wanatetea utawala had ukipinga tu wanakushambulia Kama nyuki na ndio waliotawala hili jukwaaa miaka hiyo walipatizwa book Saba toka lumumumba 2018 walipuputika Kama majani ya muembe kipindi cha kiangazi maaana walikuwa wanatumiwa na mwigulu, makamba, nape, na wengne ambae bado wako kwenye nafas hivi hao vijana humu unawaona? Hawapo wamebaki vijana wa makonda tu humu tena wachache Sana nao watageuka mmoja had mwingne

Sent using Jamii Forums mobile app
Namkumbuka zuzu mmoja alijiuta @Msalani na Ritz
 
Back
Top Bottom