Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
Halafu wanaomba kwa Mungu mbinguni wapewe kuongoza "MALAIKA". Kama kuongoza binaadamu wanashindwa, uongozi wa mbinguni watauweza.
Leo dunia imepata ushuhuda "MAMA MZAZI" wa Erick Kabendera akitimiziwa hukumu ya "KIFO" aliopewa na wababe, kwasababu ya shughuli za mwanae kujipatia riziki na kufuata haki za Kikatiba ya nchi yake (Freedom Of Speech, Freedom Of Expression).
CCM ilifikia hatua wakiwaita watawala wetu "WAPENZI WA MUNGU", Mungu anathibitisha ubatili na ukatili wa hao watawala wetu.