TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

Halafu wanaomba kwa Mungu mbinguni wapewe kuongoza "MALAIKA". Kama kuongoza binaadamu wanashindwa, uongozi wa mbinguni watauweza.

Leo dunia imepata ushuhuda "MAMA MZAZI" wa Erick Kabendera akitimiziwa hukumu ya "KIFO" aliopewa na wababe, kwasababu ya shughuli za mwanae kujipatia riziki na kufuata haki za Kikatiba ya nchi yake (Freedom Of Speech, Freedom Of Expression).

CCM ilifikia hatua wakiwaita watawala wetu "WAPENZI WA MUNGU", Mungu anathibitisha ubatili na ukatili wa hao watawala wetu.
 
RIP Mama.
Kiukweli muwe na akili kidogo tu, kila mama ya mtu akilia so mtuhumiwa aachiwe?
Acheni ufala nyinyi kabendera aenjoy tu makosa yake huko alipo.mahakama ndo itaamua kama kaonewa au kafanya makosa kweli
Humu nahisi kuna watoto wengi sana mkuu wavumilie tu.
Watu tunapaswa kufanya tathmini kwa matendo yetu tunayofanya na athari zake kwa watu wa karibu.
 
Hii inaumiza sana. Kabendera, pole sana. Video clip ya mwisho ya huyu mama iliniumiza sana, sikutaka kabisa kucomment kwenye ule uzi.
Kuna binadamu wana roho mbaya na chafu,watekaji,watesaji na wauaji. Damu ya huyu mama na iwe juu yao. Walaaniwe.
Kesho na Jumapili kuna ambayo mtayaona kanisani,rest assured ni mashetani. Yamelaaniwa.
Chuki na ushetani.
 
Umefurahi sasa wewe , kumbuka mama wawatu mwaka hajaumaliza ....Jitathmini
P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bibi si ndio alikuwa analalamika pesa za matibabu na mwanae wamemkamata?
Natumaini tutafanya sherehe ya kula nyama yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Salamu za rambi rambi zinaongozana na mchango ,tutapata jeneza la laki 5 ,mapambo ,vinywaji ,vyakula na kila kitu budget mpka kuanua matanga mil 15
R.I.P mama yngu kipenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laana inakujaje kwa mzee wa Chato ? Heshimuni mamlaka za nchi hamtaki maisha yenu ujanja unjanja tu.
Dah haya bwana mzee wa Chato hii laana haitakuacha salama. Pia hata wale wengine uliowafanyia uliyofanya pia subiri laana kuu! Sijawahi kuona kiongozi wa aina yako niseme kweli kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo eti watz wengi. Mtoto wake aache apate alichokuwa anakitafuta kwa hao mabeberu. Si unawaona last time walihudhuria hapo Kisutu? Walishindwaje kumsaidia huyo mama kama alikuwa kweli anahitaji msaada wa pesa za matibabu? Kabendera anapata alichokuwa anakitaka kuna uwezekano hata Mwenyezi Mungu ameamua kumpa somo hili ili ajifunze siku nyingine aache kutumika na mabeberu.
Tungependa Kwanzaa kukujua vizuri isije ikawa wewe ni Mtoto mdogo ambae hujui chochote, hujui Nyuma wala mbele maaana watoto ndio wamekaririshwa haya maneno Ya mabeberu ambao ndio tunaowaona kila Siku serikali ikituambia kuwa wanetusaidia Msaada wa mashart nafuuu, pia Mimi ningependa kujua status yako nisije nikawa nachati na kushindana na mtu ambae ametoka katika familia za wala Nyama za binadamu maana mla Nyama za binadam hata litokeee Jambo la kuhuzunisha yeye atadunda tu na kuwajibu watu maneno Kama haya unayojibu, pia ningependa kujua Kama hujatoka katika familia ya kishetani inayowabudu mashetani ndio nijibishane na wewe maaana unaonekana umetoka ktika familia ya kishetani ya wala Nyama za binadam Kama idi amini dadae au hukumjua kuwa Alikuwa mla Nyama za binadam? Hukujua matendo yake pia? Hukujua kuwa aliwahi kuwatumbukiza walemavu bahalini? Basi Yule alitoka ktk familia ya wala Nyama za binadam na Kwa taarifa yako na yeye Alikuwa anakula nyama za Binadamu na matendo yake yalikuwa hayo hayo
Lakini habari za mabeberu zilisemwa hata na rais wa Sudan kisa wazungu kusema kuwa huyu ni mla Nyama za watu, anakula Nyama za wananchi wake akawa na mashabiki wakawa wanawaita wazungu mabeberu akakingiwa kifua na hata baadhi ya nchi za kiafrika baadae wananchi wakatambua kuwa ni muuaji wakamwadhibu wenyewe na kumsweka ndani na sasa anakesi ya muaji na mauaji alizofunguliwa na wananchi wake wenyewe baada ya muda mwiiiingi wa kuwadanganya wananchi wake na kuwafanya wajinga Leo yuko sero ananyea ndooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MUNGU amuweke mahala pema mama Kabendera..mnaosababisha mama zetu wafe kwa mawazo mlaaniwe vizazi vyenu vyote, mama zenu, shangazi zenu, binamu zenu, watoto wenu, wajukuu zenu na mpaka kuku wenu wafe pia kama ambavyo wamekufa ndugu zetu kwa sababu zenu!
Mkuu , hao laana itakua ndogo sana kwao, hao kuna adhabu inawasubiri kuzimu nayo ni kuchomwa moto milele na milele

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
Nashindwa kupata picha Erick anajiskiaje moyoni, familia yake yote kwa ujumla
Aise hii yote ni sababu ya uongozi tu ? Cheo kinachopita ?

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
Kuna jamaa. Humu anajiita Jonalist ndo alimchongea Erick kwa mamlaka!! Nadhani ana ujumbe ameupata!
Huko waliko sasa wanarukaruka kama ndama wakishangilia pigo ambalo Kabendera kalipata.....hakika furaha yao ni ya muda lkn majuto yatakuwa ya muda mrefu sana tupo tuombe Mungu atupe uhai tushuudie majuto na mahangaiko yao pumzika kwa amani mama yetu mpendwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom