TANZIA Mama mzazi wa Mwandishi Erick Kabendera, Verdiana Mjwahuzi amefariki dunia leo Jumanne Desemba 31, 2019

Kwa maslahi ya taifa eti
 
Wanafki wengi sana wana comment kama wanamjua huyo Mungu,wakati tangu mwanzo walikuwa wanasema akome, sijui chama lao babalao.Haya mtu kapoteza mzazi hizo R.I.P zenu sijui pole,hazisaidii tena, hazina maana,now tumekuwa watu wa Mungu eeh? mungu yupi?
 
Maskini R.I.P mama yetu huenda na swala la mwanae limechangia.
 
Kama kweli wewe ndo uliemchongea Erick basi karma itaanza na wewe.
 
Na alaaniwe yeye anayesababisha watu kupata tabu namna hii.

Mungu ni mmoja tu. kama Mungu ni mtenda haki na atende haki sasa wote tuone kwa nini unaruhusu watu wakawaumiza watu wengine.

Maandiko yanasema kisasi ni juu yangu(Mungu).

Tunasubiri tuone eeeee Mungu mpaka lini utatulipizia kisasi!
 
Wanafki wengi sana wana comment kama wanamjua huyo Mungu,wakati tangu mwanzo walikuwa wanasema akome, sijui chama lao babalao.Haya mtu kapoteza mzazi hizo R.I.P zenu sijui pole,hazisaidii tena, hazina maana,now tumekuwa watu wa Mungu eeh? mungu yupi?
Wewe britanicca si ulikua mnazi wa upande wenye makali ya nchi?
Vipi umekengeuka tena?
 
Siku yangu imeharibika asubuhi hii. Nalia sana jamani, nabubujikwa na machozi ya uchungu juu ya maumivu ya huyu mama yaliyopelekea mauti yake. Niliwahi kusema kinachoniumiza juu ya sakata la Kabendera sio yeye Kabendera bali mama yake.
R.I.P Mom 😭😭
 
Ndivo itakavokuwa
Hayo maneno yafaa kwa mtu anayejua maana ya sala ya baba yetu uliyembinguni.....na Mkristo Wa kweli.Sala ya baba yetu uliyembinguni..... Ina maana nzito kiuhalisia kama unajua maana yake
 
Hakuna msiba mzito duniani kama kuondokewa na mama tuwapende sana mama zetu
 
Ndugu

Hizi ni hisia kali sana na laana ndani yake. Inasikitisha sana kwa wakina cipirian musiba
 
Ndivo itakavokuwa

Hayo maneno yafaa kwa mtu anayejua maana ya sala ya baba yetu uliyembinguni.....na Mkristo Wa kweli.Sala ya baba yetu uliyembinguni..... Ina maana nzito kiuhalisia kama unajua maana yake
Hawez jua nakuhakikishia, ujue mtu mwenye hofu ya MUNGU ukimuona tu usoni unaona huyu ana hofu ya MUNGU, na watu wenye hofu ya MUNGU lazima walitokea kwenye jamiii ya watu wa MUNGU koo za watu Wa MUNGU familia ya watu wa MUNGU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We pimbi leo umekuwa mwema kwa Erick

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…