Kafrican JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 7,251 Reaction score 7,037 Nov 16, 2019 #41 Kuna huyu joy rider naye anagojea kupokea za babake.... Hiyo speech ame cram
platozoom JF-Expert Member Joined Jan 24, 2012 Posts 9,424 Reaction score 11,320 Nov 17, 2019 #42 Inasikitisha sana. Yaani na ubilionea wote huo, hata kusema hizo pesa ziende kwenye mfuko wa msaada
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,130 Reaction score 8,362 Nov 17, 2019 #43 Kenya Ina wenyewe
Sinister JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 1,531 Reaction score 1,577 Nov 17, 2019 #44 joto la jiwe said: Hahahaha, 'Tanzania below poverty line is 22%, Kenya is 42%. Huku hakuna anayekufa njaa, wala anayeishi ktk slums, Unemployment rate Kenya is 48%, the highest in Africa, crime rate is the highest in Africa, endless strikes. Click to expand... Umekuwa mwongo kama alivyo mkulu! Hapa tuna akili zetu usijaribu!
joto la jiwe said: Hahahaha, 'Tanzania below poverty line is 22%, Kenya is 42%. Huku hakuna anayekufa njaa, wala anayeishi ktk slums, Unemployment rate Kenya is 48%, the highest in Africa, crime rate is the highest in Africa, endless strikes. Click to expand... Umekuwa mwongo kama alivyo mkulu! Hapa tuna akili zetu usijaribu!