Tetesi: Mama Mzazi wa Rais Kenyatta analipwa mshahara mkubwa licha ya kuwa hana cheo au mamlaka kwa Serikali

Tetesi: Mama Mzazi wa Rais Kenyatta analipwa mshahara mkubwa licha ya kuwa hana cheo au mamlaka kwa Serikali

Kuna huyu joy rider naye anagojea kupokea za babake....


Hiyo speech ame cram
 
Inasikitisha sana.
Yaani na ubilionea wote huo, hata kusema hizo pesa ziende kwenye mfuko wa msaada
 
Hahahaha, 'Tanzania below poverty line is 22%, Kenya is 42%. Huku hakuna anayekufa njaa, wala anayeishi ktk slums, Unemployment rate Kenya is 48%, the highest in Africa, crime rate is the highest in Africa, endless strikes.
Screenshot_2019-11-17-12-42-46.png
IMG_20191117_124134.png
Umekuwa mwongo kama alivyo mkulu! Hapa tuna akili zetu usijaribu!
 
Back
Top Bottom