dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Chadema inatangaza msiba wa mama mzazi wa Tuly Nasa aliyekuwa kada wa Chadema ambaye kwa sasa ni marehemu aliyezikwa wiki iliyopita. Msiba umetokea leo alfajiri.
Wiki iliyopita mama huyo alikuwa mzima na alishiriki mazishi ya mwanaye huyo wa kike.
Picha mama mwenye nguo nyeupe (ambaye amefariki dunia mapema leo) akimuaga mwanaye marehemu Tuli Nasa.