one one
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 332
- 372
Kitabibu mtu anapokua analia na kupumua kwa shida sababu ya majonzi huvuliwa barakoa apate hewa ya kutosha.Mnisamehe wadau.
Kitu ninachokiona hapo kwenye picha ni dharau kwa wafiwa huyo mama na kijana, wenzake nyuma wamevaa barakoa na sidhani kama walisimama kwa muda hapo kwa marehemu ila yeye kwa sababu ni mwanae na ameguswa akaona mtoto hajafa kwa corona, na yeye mdo mzazi so aachwe aage kwa majonzi yote.
ILANI: Kwa sasa tuwe makini hata kama mgonjwa kafariki kwa ajali please picha itumike kuaga marehemu, halu siyo nzuri, tuchukue tahadhari zote na tuache mazoea ndg watanzania.