dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
DodomaNi wenyeji wa wapi?
Rip, mungu awape nguvuChadema inatangaza msiba wa mama mzazi wa Tuly Nasa aliyekuwa kada wa Chadema ambaye kwa sasa ni marehemu aliyezikwa wiki iliyopita. Msiba umetokea leo alfajiri.
Wiki iliyopita mama huyo alikuwa mzima na alishiriki mazishi ya mwanaye huyo wa kike.
Picha mama mwenye nguo nyeupe (ambaye amefariki dunia mapema leo) akimuaga mwanaye marehemu Tuli Nasa.
MpView attachment 1707061
Mi nilifikiri mbeyaDodoma
Nami ndo ulikuwa msingi wa swali langu kutokana na hilo jina Tuly nkafikiri atakuwa mnyakyusa.Mi nilifikiri mbeya
Hapa huenda ilikuwa too late hata kuvaa barakoa. Kama ni mwanae basi kuna possibility kubwa alikuwa anamuuguza (kama walikuwa wanaishi wote) hivyo pengine alikwisha ambukizwa. Anyways sipingi wazo lako la kuvaa barakoa ila nimechangia kuonyesha huu ugonjwa unavyokuwa deadly kama hauna muongozo mzuri kutoka serikalini.Mnisamehe wadau.
Kitu ninachokiona hapo kwenye picha ni dharau kwa wafiwa huyo mama na kijana, wenzake nyuma wamevaa barakoa na sidhani kama walisimama kwa muda hapo kwa marehemu ila yeye kwa sababu ni mwanae na ameguswa akaona mtoto hajafa kwa corona, na yeye mdo mzazi so aachwe aage kwa majonzi yote.
ILANI: Kwa sasa tuwe makini hata kama mgonjwa kafariki kwa ajali please picha itumike kuaga marehemu, halu siyo nzuri, tuchukue tahadhari zote na tuache mazoea ndg watanzania.