TANZIA Mama mzazi wa Tuly Nasa (Kada wa Chadema aliyefariki wiki iliyopita) naye afariki dunia

Kitabibu mtu anapokua analia na kupumua kwa shida sababu ya majonzi huvuliwa barakoa apate hewa ya kutosha.
 
Kwani huu una muongozo mpya tuache kuibebesha serikali mizigo huu ugonjwa tayali unamuongozo wake tangu mwaka jana engekua vifo vinazuilika na serikali wazungu wasingekufa tuchukue tahadhali likikupata lako hilo.
 
Nikishaona mtu asiyejua tofauti kati ya ''tayali'' na ''tayari'' au ''tahadhali'' na ''tahadhari'' moja kwa moja najua ni ''elimu gongana'' na uelewa wake ni mdogo hivyo bora kuzingatia ule msemo wa ''Never argue with.......''
 
Nakumbuka mwaka jana mwezi wa 12 kuna mzee mtaani kwetu alikufa ghafla tu
Mchungaji akatoa maelekezo hakuna kuangalia mwili wa marehemu kwenye jeneza
Ilitembezwa picha tu nadhani huu utaratibu ungetumika
 
Bado wabongo wanashadadia misiba
Hali iliyepo misiba syo pa kwenda
Mjiongezeeeeeeeee
Watu mtadondokaaaaaaa/tutadondokaaaa
Sanaaaaa

Ova
 
Kitabibu mtu anapokua analia na kupumua kwa shida sababu ya majonzi huvuliwa barakoa apate hewa ya kutosha.
Nashukuru sana sana ILA...
Huyo kijana pembeni naye analia?(usinipe jibu) but katika mazingira haya tuliyo nayo tahadhari ni muhimu sana kuliko majonzi ya muda mfupi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…