mama na mtoto wafumwa wakibanjuana

mama na mtoto wafumwa wakibanjuana

Tatizo aliyetoa hukumu hiyo ya kifo ni yeye pia ndio mlalamikaji na pia shahidi pekee! Kuna uwezekano mkubwa muuwaji huyu ameficha sababu hasa ya mauwaji hayo (hilo la kuwafumania pengine ni kutafuta sympathy/empathy tu)!
Nakubaliana na wewe kabisa....yawezekana hii ni njia tu ya kuji hedge!
 
Tatizo aliyetoa hukumu hiyo ya kifo ni yeye pia ndio mlalamikaji na pia shahidi pekee! Kuna uwezekano mkubwa muuwaji huyu ameficha sababu hasa ya mauwaji hayo (hilo la kuwafumania pengine ni kutafuta sympathy/empathy tu)!

Au litoto la kambo. Maana mizee mingine inaoa wake wanaolazimika kuwaamkia watoto wao...
 
Huo msinambi wa mamako utaanzaje kuutazama achilia mbali kusukuma gozi! ee mungu tusamehe!!!!!
 
Mimi sitazungumzia hayo mengine,nataka kujua,uhalali wa huyo jamaa wa kuua anadhani ameutoa wapi?
 
Naona hata adhabu waliyopewa wanastahili kabisa!! Ila huyo mzee angenza kwa kuwatembeza uchi kwanza!!!

cha kwanza baada ya kusikia issue hii nilitamani ningekuwa mwanasheria ningejitolea angalau kupunguza adhabu ya huyu baba maana kitendo walichofanya mama na mtoto wake hakika hakikubaliki kabisa..
 
uwiiiiiiiiiii tumefikia pabaya! hivi huyo mama alikuwa wet kabisa?? mbona hainiingii akilini?? lol! Lord Have Mercy!
 
eeeeh dogo alikuwa nabembea kinenani mwa mamaye!
Aiiiseeeeee
Kweli akili zinarudi nyuma na kuwa kama za wanyama
 
huyo ni mtoto wake kabisa wa kumzaa au mtoto wa kambo..maana watoto wako wa aina nyingi siku hizi
 
cha kwanza baada ya kusikia issue hii nilitamani ningekuwa mwanasheria ningejitolea angalau kupunguza adhabu ya huyu baba maana kitendo walichofanya mama na mtoto wake hakika hakikubaliki kabisa..
he can plead temporary insanity, it may work if he convinves the jury/judge he lost control after seeing his wife and son doing it. he'll never the light of freedom though, overall sad story with a sad ending.
 
mama na mtoto wameuwawa baada ya kukutwa wakijamiiana wilayani meatu mkoani Simiyu, Tukio hilo lilitokea saa saba ya usiku juzi na mme wa marehemu kuchukua jukumu la kuwachinja chinja na kisha kutembea umbali wa kilomita 18kwenda kutoa taarifa kuwa amemchinja mke wake na mtoto wake baada ya kuwakuta wakibanjuana na kisha kusalimisha silaha alizotumia kuchinjia...binafsi nauona mwisho wa dunia hauko mbali.[/QUOTE]

Ndugu yangu Cash Wise;
Tukio hili kama umelisikia kama ambavyo nimelisikia mimi; Mzee ana miaka 69, mtoto miaka 27 na mama miaka 40. Hivyo obvious mama huyu si mama mzazi wa mtoto aliyekuwa anafanya naye mapenzi sababu ukiangalia tofauti ya umri kati yao inasema hivyo. Tatizo liko kwa mzee kwamba una miaka 69 unaoa mwanamake miaka 40 ambayo ni sawa na kusema una miaka 39 unaoa mtoto wa miaka 10! Huu ni upumbavu kwa sababu huyu ni mtoto ambaye damu yake bado inachemka, na baba kishakuwa mzee, obvoius alikuwa hamtimizii. Halafu hawa wazee wa namna hii wanakuwaga na tendency ya kuoa wake zaidi ya mmoja wakati nguvu za kufanya kazi kitandani hamna, ili mradi tu ana ng'ombe wa kwenda kutoa mahali. Ningekuwa hakimu ningehakkisha nafanya lobbying kuipata kesi hii au ku-influence hukumu yake, na ningetoa fundisho ambalo wazee wa namna hii wanotumia kiburi cha utajiri wa ng'ombe halafu baadaye wanakuja kufanya madude, kutoa adhabu ambayo wangelikubali Tanzania nzima kuwa mahakimu wapo duniani. Yaani kweli tuseme ningekuwa hakimu halafu najaliwa kumuweka kati mwenye kesi ya namna hii, watu wote wangesikia hata pale ambapo hawana masikio.

Unaamua kuchinja watu sababu ya ujinga na kiburi cha ng'ombe? Halafu wazee wa namna hii mimi nawajua, wanakuwaga na tabia ya kuthamini sana NG"OMBE KULIKO BINADAMU. Huyu anastahili kunyongwa!
 
Huko Zimbabwe kuna kijana alifunga ndoa na mama yake mzazi,ni upendo tu.
 
Kweli wamekosea kulingana na maadili ya kiafrika zaidi (Siwasemei wengineo). Lakini sio sahihi kulaumu sana kabla ya kujua mazingira yaliyowaingiza katika kufanya hivyo. Bahati kwa sasa kuna vyombo vya habari vinapaisha mambo shashaa, lakini hayo sio mapya ila hayatangazwi sana. Hata huyo mchinjaji mnajuaje yeye ni msafi kihivyo? Hamjasikia baba akibanjuana na binti yake wa kumzaa? Dhambi ni dhambi tu, hata ukimwona mwanamke kwa jicho la mapenzi umeshazini naye, the same applies kwa mwanamke. Kuta za nyumba na mapaa yake vinaficha siri nyingi kwa watu ingawa Mungu anayaona yoooote kabisa.
 
Tatizo aliyetoa hukumu hiyo ya kifo ni yeye pia ndio mlalamikaji na pia shahidi pekee! Kuna uwezekano mkubwa muuwaji huyu ameficha sababu hasa ya mauwaji hayo (hilo la kuwafumania pengine ni kutafuta sympathy/empathy tu)!

Hapa umenena maana watu hawaanalyse wanatoa hukumu na kuendorse uovu aliofanya huyu baba mnyama mkubwa.
Nani kampa ruhusa ya kutoa hukumu na kuua.

Huyu baba apewe adhabu kali sana na liwe fundisho kwa wanaume wote wenye tabia kama yake ya kuchukua sheria mkononi.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom