mama na mtoto wafumwa wakibanjuana

mama na mtoto wafumwa wakibanjuana

Huko Zimbabwe kuna kijana alifunga ndoa na mama yake mzazi,ni upendo tu.

Wewe unafunga ndoa na mama yako lini....!? maana yaonekana wewe unaona poa tu au wewe huna upendo na mama yako mzazi...
 
Mzee atakuwa 60 na akaoa mke wa 22 huku aliwa na kula na kulala wa 28.....ndipo nitaikubali hadithi hii
 
Ndugu yangu Cash Wise;
Tukio hili kama umelisikia kama ambavyo nimelisikia mimi; Mzee ana miaka 69, mtoto miaka 27 na mama miaka 40. Hivyo obvious mama huyu si mama mzazi wa mtoto aliyekuwa anafanya naye mapenzi sababu ukiangalia tofauti ya umri kati yao inasema hivyo. Tatizo liko kwa mzee kwamba una miaka 69 unaoa mwanamake miaka 40 ambayo ni sawa na kusema una miaka 39 unaoa mtoto wa miaka 10! Huu ni upumbavu kwa sababu huyu ni mtoto ambaye damu yake bado inachemka, na baba kishakuwa mzee, obvoius alikuwa hamtimizii. Halafu hawa wazee wa namna hii wanakuwaga na tendency ya kuoa wake zaidi ya mmoja wakati nguvu za kufanya kazi kitandani hamna, ili mradi tu ana ng'ombe wa kwenda kutoa mahali. Ningekuwa hakimu ningehakkisha nafanya lobbying kuipata kesi hii au ku-influence hukumu yake, na ningetoa fundisho ambalo wazee wa namna hii wanotumia kiburi cha utajiri wa ng'ombe halafu baadaye wanakuja kufanya madude, kutoa adhabu ambayo wangelikubali Tanzania nzima kuwa mahakimu wapo duniani. Yaani kweli tuseme ningekuwa hakimu halafu najaliwa kumuweka kati mwenye kesi ya namna hii, watu wote wangesikia hata pale ambapo hawana masikio.

Unaamua kuchinja watu sababu ya ujinga na kiburi cha ng'ombe? Halafu wazee wa namna hii mimi nawajua, wanakuwaga na tabia ya kuthamini sana NG"OMBE KULIKO BINADAMU. Huyu anastahili kunyongwa!
Mkuu umeongea kwa uchungu mkubwa kabisa as if wewe ni mhusika....hahahahaa, kuhusiana na umri labda lilinipita mkuu na nimejaribu kuritafuta kwenye tovuti ya radio free Africa naona tovuti yao haiko hewani hata hivyo mke wa baba yako ni mama yako tu.
 
mama na mtoto wameuwawa baada ya kukutwa wakijamiiana wilayani meatu mkoani Simiyu, Tukio hilo lilitokea saa saba ya usiku juzi na mme wa marehemu kuchukua jukumu la kuwachinja chinja na kisha kutembea umbali wa kilomita 18kwenda kutoa taarifa kuwa amemchinja mke wake na mtoto wake baada ya kuwakuta wakibanjuana na kisha kusalimisha silaha alizotumia kuchinjia...binafsi nauona mwisho wa dunia hauko mbali.[/QUOTE]

Ndugu yangu Cash Wise;
Tukio hili kama umelisikia kama ambavyo nimelisikia mimi; Mzee ana miaka 69, mtoto miaka 27 na mama miaka 40. Hivyo obvious mama huyu si mama mzazi wa mtoto aliyekuwa anafanya naye mapenzi sababu ukiangalia tofauti ya umri kati yao inasema hivyo. Tatizo liko kwa mzee kwamba una miaka 69 unaoa mwanamake miaka 40 ambayo ni sawa na kusema una miaka 39 unaoa mtoto wa miaka 10! Huu ni upumbavu kwa sababu huyu ni mtoto ambaye damu yake bado inachemka, na baba kishakuwa mzee, obvoius alikuwa hamtimizii. Halafu hawa wazee wa namna hii wanakuwaga na tendency ya kuoa wake zaidi ya mmoja wakati nguvu za kufanya kazi kitandani hamna, ili mradi tu ana ng'ombe wa kwenda kutoa mahali. Ningekuwa hakimu ningehakkisha nafanya lobbying kuipata kesi hii au ku-influence hukumu yake, na ningetoa fundisho ambalo wazee wa namna hii wanotumia kiburi cha utajiri wa ng'ombe halafu baadaye wanakuja kufanya madude, kutoa adhabu ambayo wangelikubali Tanzania nzima kuwa mahakimu wapo duniani. Yaani kweli tuseme ningekuwa hakimu halafu najaliwa kumuweka kati mwenye kesi ya namna hii, watu wote wangesikia hata pale ambapo hawana masikio.

Unaamua kuchinja watu sababu ya ujinga na kiburi cha ng'ombe? Halafu wazee wa namna hii mimi nawajua, wanakuwaga na tabia ya kuthamini sana NG"OMBE KULIKO BINADAMU. Huyu anastahili kunyongwa!

Ah! Kuumbeeeeee! Umenifungua akili. Unaona hatari ya kukurupuka kuhukumu? MAZINGIRA yanainfluence kutenda makosa. Unajuaje labda huyo mama na huyo mwana walikuwa wapenzi hata kabla hawajawa familia ya mzee mmoja ila pengine baba kamnyang'anya mwanae?????
 
Dogo ameamua kubanjua alipo tokea
 
Kuna mzee mmoja alikuwa mfanyi kazi wa HR NBC enzi zile alikuwa akibanjua binti yake.
Mwingine alikuwa Director wa inspection NBC naye alikuwa akibanjua binti yake
Mmoja wa wakuu wa chuo cha IFM miaka ya 90 aliye wahi kuiba mamilioni hapo IFM naye alikuwa akibanjua binti yake
Dada mmoja alikuwa mtumishi wa NBC naye alikuwa akibanjuliwa na baba yake

Sidhani kama ni mambo ya waganga,
nionvyo mimi ni ugonjwa utokanao na kutokuwa na emotion akilini mwako.
Mijitu hii siku zote haijali, haiogopi na haina aibu hata kidogo.
Watu hawa hata wangezaliwa nguruwe huku wakiwa na ufahamu wao wa kibinadamu wala wasingejisikia vibaya.
 
Mi namshangaa zaidi huyu kijana.... storongo iliwezaje kusimama na kupenya kwenye mfurunge wa mama yake? Khaa!
Asprin hiki ni kikabila ama? storongo na mfurunge? kiukweli sijui ni nini hii aisee.
 
Last edited by a moderator:
mama na mtoto wameuwawa baada ya kukutwa wakijamiiana wilayani meatu mkoani Simiyu, Tukio hilo lilitokea saa saba ya usiku juzi na mme wa marehemu kuchukua jukumu la kuwachinja chinja na kisha kutembea umbali wa kilomita 18kwenda kutoa taarifa kuwa amemchinja mke wake na mtoto wake baada ya kuwakuta wakibanjuana na kisha kusalimisha silaha alizotumia kuchinjia...binafsi nauona mwisho wa dunia hauko mbali.
Huyo mzee inawezekana hakuwa mkweli kwenye taarifa yake, hapa swali ni kwamba ninani ambaye alishuhudia nae kwamba mke wake na mtoto wake wanavunja amri ya sita? kama hamna ukweli ni kwamba huyu mzee alikuwa na issue zake binafsi.
 
Asprin hiki ni kikabila ama? storongo na mfurunge? kiukweli sijui ni nini hii aisee.
Haya habari kwa picha:

ZXGRD00Z.jpg
 
Hata mimi siko convinced kuwa muuaji anasema ukweli ukizingatia alikuwa peke yake kwenye tukio.

Tatizo aliyetoa hukumu hiyo ya kifo ni yeye pia ndio mlalamikaji na pia shahidi pekee! Kuna uwezekano mkubwa muuwaji huyu ameficha sababu hasa ya mauwaji hayo (hilo la kuwafumania pengine ni kutafuta sympathy/empathy tu)!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Mijanaume inayotembea na binti zao ipo ya kumwaga...ila sijawahi kuona wala kusikia mama anatembea na mtoto wake. Sijawahi.

Kuna mzee mmoja alikuwa mfanyi kazi wa HR NBC enzi zile alikuwa akibanjua binti yake.
Mwingine alikuwa Director wa inspection NBC naye alikuwa akibanjua binti yake
Mmoja wa wakuu wa chuo cha IFM miaka ya 90 aliye wahi kuiba mamilioni hapo IFM naye alikuwa akibanjua binti yake
Dada mmoja alikuwa mtumishi wa NBC naye alikuwa akibanjuliwa na baba yake

Sidhani kama ni mambo ya waganga,
nionvyo mimi ni ugonjwa utokanao na kutokuwa na emotion akilini mwako.
Mijitu hii siku zote haijali, haiogopi na haina aibu hata kidogo.
Watu hawa hata wangezaliwa nguruwe huku wakiwa na ufahamu wao wa kibinadamu wala wasingejisikia vibaya.
 
Tatizo aliyetoa hukumu hiyo ya kifo ni yeye pia ndio mlalamikaji na pia shahidi pekee! Kuna uwezekano mkubwa muuwaji huyu ameficha sababu hasa ya mauwaji hayo (hilo la kuwafumania pengine ni kutafuta sympathy/empathy tu)!

You are very bright than anyone here and anywhere. You are among those I admire most

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom