Mama Samia amejengwa na utamaduni wa wazanzibari wa "muhali". Huku bara hakuna kitu kama hicho.
Jitu likikuamulia kila uchwao linaongeza mbinu za kukuangamiza. Kingine ni kwamba mijitu ya huku bara inaweza kuwa inakuchekea usoni lkn moyoni ina chuki ya kukuua
Mama amejiandaa kwa yote haya? Anadhani wale wote waliokuwa wanasimama juzi pale ikulu na kuimba "tunaimamani na Samia" ni kweli wanampenda?
Midume hii ya ccm kweli itakubali 2025 huyu mama asimame kama mgombea urais ndani ya chama chao?
Mama akiweza kuvuka figisu, uhuni, unafiki na uzandiki unaofanywa na midume hii ya bara atastahili tuzo ya Nobel.