Mama Ndalichako tusaidie Marian Girls wanataka kutuibia wazazi bila aibu

Bora pre 4m 1 pale mwanafunzi anajifunza lugha ya Malkia kwa ufasaha.
Aweze lugha ya malkia kwa miezi mitatu? Hajaweza tangu darasa la nne aje aweze kwenye pre form one[emoji848][emoji848]
 
Lakin primary zetu unazijua vizur kweny kimalkia? Weee hakuna kitu
 
Back
Top Bottom