Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Serikali haiwezi biashara mkuu trust me, kila mtu anataka Kula kwa urefu wa kamba yake.Nashauri tuzipige mnada hizo ndege mbili Dreamliner ili tununue meli kubwa ya kubeba mafuta.... meli hii kubwa tuikabidhi kwa TPDC ili tuwe na uhakika wa kupata mafuta kwa uhakika na bei nafuu.
TPDC hii hii au nyingine?Nashauri tuzipige mnada hizo ndege mbili Dreamliner ili tununue meli kubwa ya kubeba mafuta.... meli hii kubwa tuikabidhi kwa TPDC ili tuwe na uhakika wa kupata mafuta kwa uhakika na bei nafuu.
Soma vizuri uelewe ndio uchangie hoja, ndege zingine zote zimeingiza Faida isipokuwa Dreamliners tuBiashara ya ndege kokote duniani haifanywi na serikali , hii ni fact alipewa Magu wakati ana embark kwenye hiyo bizz,
Serikali ilitakiwa tu kuboresha miundombinu kama kujenga airports za kisasa na facilities zake kisha iwaachie watu wa ptivate wachukue risks na kulipa kodi stahiki
Mama mtamuinea bure , structure ya biashara hii ya ndege , toka inaanza ilikuwa na dosari tele, na clearly profiting from it haikuwa priority kwa mwendazake , it was more like a prestigious based
kwahiyo hapo umemaliza?Habari za mda huu wadau.
Kutokana na report ya CAG wakati ndege zingine zikitengeneza faida Dreamliner zetu zimeliingizia hasara ya Billion 23.6 shirika la ATCL.
Sote tunajua ni kwanini hizi ndege mbili zimiingiza hasara hivyo Kichele usitudanganye sema tu ukweli kuwa ni safari za Chief H zisizo na kichwa wala miguu.
Toka awamu ya 6 uingie madarakani site tumeona hizi ndege zikitumika ovyo.
Wana mapambio karibuni kupinga hili
Source Air Tanzania's two Dreamliner aircraft record Sh23.6 billion loss
nakukosoa si awamu ya6 bali awamu ya5 rais wa6.Habari za mda huu wadau.
Kutokana na report ya CAG wakati ndege zingine zikitengeneza faida Dreamliner zetu zimeliingizia hasara ya Billion 23.6 shirika la ATCL.
Sote tunajua ni kwanini hizi ndege mbili zimiingiza hasara hivyo Kichele usitudanganye sema tu ukweli kuwa ni safari za Chief H zisizo na kichwa wala miguu.
Toka awamu ya 6 uingie madarakani site tumeona hizi ndege zikitumika ovyo.
Wana mapambio karibuni kupinga hili
Source Air Tanzania's two Dreamliner aircraft record Sh23.6 billion loss
Mkuu dreamliner pekee imeingiza hasara ya 23 billions ,haimaanishi kuwa bombardier zinaingiza faidaSoma vizuri uelewe ndio uchangie hoja, ndege zingine zote zimeingiza Faida isipokuwa Dreamliners tu
Hii ni hoja piaDar- Dodoma- Zanzibar - Dar - Dodoma.
ukishaona taasisi za serikali haziaminiki kwa wananchi wake basi ujue ni tatizo kubwa mno.TPDC hii hii au nyingine?
Mama hatumii Dreamliner anatumia Airbus 320 acha upotoshaji.Hii ni hoja pia
Ila waliotengenzea hilo dude 787 wanasema ili upate faida lazima walau likae masaa 13 angani kila siku linayofanya biashara , Ukienda kinyume na hilo hakuna namna unaeza pata faida ,
Hij ni wide body designed plane ambayo metal fatigue yake ni kubwa , na hivyo kufanya take off langing cyle yake, kuwa very limited kabla halijakuwa scraped, these shorts routes zitaifanya hizo ndege zipoteze airworthiness , zikwa zingali mpya kabisa.