Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Ametoroka hii reportMama ameenda kuzindua filamu acheni kumsumbua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ametoroka hii reportMama ameenda kuzindua filamu acheni kumsumbua
Shida ni kwamba wanazitumia Ila hawailipi Eitisielo. Toka Jumong aanze kutumia hizo ndege hajalipa hata Miahapa umeeleza ukweli mama kazitumia ndege zetu vibaya sana dodoma dar kila siku mbili ni hasara kubwa sana mara mpango ufaransa hasara juu ya hasara ukiona hasara kaifanya mama ama CAG anakwepa au akishindwa kukwepa anaigeuza hasara hii nakusema ilitokana na jpm
Wapi nimesema mama anatumia dreamliner?, Halafu hatuna Airbus A320 kwa taarifa yako tuna Airbus A220 300,Mama hatumii Dreamliner anatumia Airbus 320 acha upotoshaji.
Itafika wakati watu watachoka..., kuna wapuuzi wachache wanataka kutuharibia future yetu; Nadhani hawajui Msemo wa Ukila na Kipofu usimguse Mkono...
Mkuu wao wa upigaji amewaambia kuwa wanavimbiwa sasa😁😁😁Itafika wakati watu watachoka..., kuna wapuuzi wachache wanataka kutuharibia future yetu; Nadhani hawajui Msemo wa Ukila na Kipofu usimguse Mkono...
Hawa sio tu kwamba wanamaliza hadi ukoko bali wanafanya hivyo kwa kebehi na majivino
Bure Kabisa...
Mkuu wao wa upigaji amewaambia kuwa wanavimbiwa sasa😁😁😁
View attachment 2187174View attachment 2187176
Fafanua jinsi alivyoleta hasara muhishimiwa.Habari za mda huu wadau.
Kutokana na report ya CAG wakati ndege zingine zikitengeneza faida Dreamliner zetu zimeliingizia hasara ya Billion 23.6 shirika la ATCL.
Sote tunajua ni kwanini hizi ndege mbili zimiingiza hasara hivyo Kichele usitudanganye sema tu ukweli kuwa ni safari za Chief H zisizo na kichwa wala miguu.
Toka awamu ya 6 uingie madarakani site tumeona hizi ndege zikitumika ovyo.
Wana mapambio karibuni kupinga hili
Source Air Tanzania's two Dreamliner aircraft record Sh23.6 billion loss
Hiyo tarehe uliyoizungushia, ni tarehe ya malipo au tarehe ya TWEET?
Acheni kukariri mambo. Mashirika yote makubwa yenye kutengeneza faida tanamilikiwa na nani?Biashara ya ndege kokote duniani haifanywi na serikali , hii ni fact alipewa Magu wakati ana embark kwenye hiyo bizz,
Serikali ilitakiwa tu kuboresha miundombinu kama kujenga airports za kisasa na facilities zake kisha iwaachie watu wa ptivate wachukue risks na kulipa kodi stahiki
Mama mtamuinea bure , structure ya biashara hii ya ndege , toka inaanza ilikuwa na dosari tele, na clearly profiting from it haikuwa priority kwa mwendazake , it was more like a prestigious based
Hata kama ni tarehe ya tweet maana yake ni kwamba hizo hela zimelipwa wakati huu(Mwezi wa tatu au wa nne).Mbona ni kitu simple sana kuelewa mkuu??!Hiyo tarehe uliyoizungushia, ni tarehe ya malipo au tarehe ya TWEET?
Mwalimu ali-overlook, ilitakiwa wakati wa kughatuka kwake angekuwekea mazingira mazuri kabisa ya ujio wa katiba mpya - Sasa haya katuachia ni mateso makubwa - jamaa hawataki kabisa kusikia neno Katiba Mpya.Kwa hii Katiba tuliyo nayo ya mwaka 1977, hata tukimpa nchi Malaika/ Padre/ Mchungaji/ Askofu/ Nabii/ Mtume/ Sheikh/ Ustaadh/ Imam, au kiumbe yeyote yule!
Bado mwisho wa siku ataishia tu kukengeuka! Na hivyo kuiendesha nchi kwa matakwa na utashi wake. Maana Katiba inampa mamlaka makubwa, kiasi cha kujiona mungumtu.
Mfano wako unakosa uhalisia wa biashara ya ndege , Hao hawafanyi biashara ya kudunduliza kama Atcl inavyotakiwa kufanyaAcheni kukariri mambo. Mashirika yote makubwa yenye kutengeneza faida tanamilikiwa na nani?
Qatar airways
Emirates
Gulf Air
Saudi Arabian
Singapore Airlines
Chinese airlines (eastern, southern and Air China )
Ethiopian airlines
Mbona Watu mnapenda kuburuzwa buruzwa tu!