t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Sio uvumilivu mkuu , mwalimu alitunyima elimu, hii ya kukumbatia kiswahili ndo imetuweka kwenye corridor mbaya sana .Mwalimu ali-overlook, ilitakiwa wakati wa kughatuka kwake angekuwekea mazingira mazuri kabisa ya ujio wa katiba mpya - Sasa haya katuachia ni mateso makubwa - jamaa hawataki kabisa kusikia neno Katiba Mpya.
Kwa sasa hivi wanajipanga kwa 2025 kwa kutupatia Tume feki ya uchaguzi ambayo kwa nje itaonekana walau inatia moyo ila kwa ndani madudu ni yale yale.
Watanzania bado tuna safari ndefu mno, cha kushukuru Mungu tu ni kwamba tumepewa uvumilivu mkubwa mno.
Tungekuea tunaelewa lugha mijadala ya watu wa nje ingetusaidia ,
Leo hii media zote kubwa Cnn. Bbc Al-Jazeera , sky news zinaongelea mambo muhimu ila kwa watanzania hadi tutafsiriwe na mukandala