Mama Ndie Amesababisha Dreamliner Kuingiza Hasara ya Billionii 23.6

Shida ni kwamba wanazitumia Ila hawailipi Eitisielo. Toka Jumong aanze kutumia hizo ndege hajalipa hata Mia
 
Kwani Rais anatumia hiyo dreamliner kwenye safar zake? Na kama hatumii kwanini alaumiwe? Na kama anapaswa kulaumiwa basi utuaminishe hasara imeanza kupatikana kwenye utawala wake. Tofauti na hapo ni ubatili unafanyika linapokuja suala la kumtupia Raisi wa sasa lawama.
 
Mama hatumii Dreamliner anatumia Airbus 320 acha upotoshaji.
Wapi nimesema mama anatumia dreamliner?, Halafu hatuna Airbus A320 kwa taarifa yako tuna Airbus A220 300,
 
Mkuu wao wa upigaji amewaambia kuwa wanavimbiwa sasa😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Mama piga kazi, piga kazi...sio wote watakupenda.....ndivyo binadamu tulivyo
 
Fafanua jinsi alivyoleta hasara muhishimiwa.
 
Acheni kukariri mambo. Mashirika yote makubwa yenye kutengeneza faida tanamilikiwa na nani?

Qatar airways
Emirates
Gulf Air
Saudi Arabian
Singapore Airlines
Chinese airlines (eastern, southern and Air China )
Ethiopian airlines

Mbona Watu mnapenda kuburuzwa buruzwa tu!
 
Safari za marekani tu ndo zitafanya zipate faida hizo ndege. Mama arudi na mkataba was kuruka marekani via lagos and Accra.

Dar-lagos-dulls
Dar-accra-dulls

pale DC wabongo wengi sana.
 
Gwajima hii nchi haina maono kila raisi anayekuja anakuja na akili zake hivyo taifa halina sera itakayokuwa inafuatwa na kila raisi anayeingia
 
Kipindi cha Jiwe mungu mtu asiyesafiri na ndege mpanda ma v8 kwenda chato izo ndege zilitegeneza faida kias gan ?
Acha chuki binafsi kwa Rais ,
 
Hiyo tarehe uliyoizungushia, ni tarehe ya malipo au tarehe ya TWEET?
Hata kama ni tarehe ya tweet maana yake ni kwamba hizo hela zimelipwa wakati huu(Mwezi wa tatu au wa nne).Mbona ni kitu simple sana kuelewa mkuu??!
 
Mwalimu ali-overlook, ilitakiwa wakati wa kughatuka kwake angekuwekea mazingira mazuri kabisa ya ujio wa katiba mpya - Sasa haya katuachia ni mateso makubwa - jamaa hawataki kabisa kusikia neno Katiba Mpya.

Kwa sasa hivi wanajipanga kwa 2025 kwa kutupatia Tume feki ya uchaguzi ambayo kwa nje itaonekana walau inatia moyo ila kwa ndani madudu ni yale yale.

Watanzania bado tuna safari ndefu mno, cha kushukuru Mungu tu ni kwamba tumepewa uvumilivu mkubwa mno.
 
Mfano wako unakosa uhalisia wa biashara ya ndege , Hao hawafanyi biashara ya kudunduliza kama Atcl inavyotakiwa kufanya

Mashirika manne hapo juu yote yanatokea kwenye gulf zones na huko ndo yanakopatikana mafuta, Arabs wako kwenye transition ya fuel economy ambayo ina threats kazaa ikiwamo renewable enegy solar power.nk gulf wana purchasing power kubwa , kwa taarifa yako tu Emirates ndo wanamiliki airbus A380 123 kati ya 251 zilizotengezwa na Airbus , kwa maana nyingine ni kuwa karibu nusu ya A380 zilizotengenezwa , alinunua Emirates .A380 are known to be gass guzzles na operators wengi zimewashinda , ila kwa emirates haikuwa shida wao wanaagalia ufahari zaidi, Emirates alipoamua kuwa hataki tena A380, airbus kafunga production.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…