Mama Ndie Amesababisha Dreamliner Kuingiza Hasara ya Billionii 23.6

Sio uvumilivu mkuu , mwalimu alitunyima elimu, hii ya kukumbatia kiswahili ndo imetuweka kwenye corridor mbaya sana .
Tungekuea tunaelewa lugha mijadala ya watu wa nje ingetusaidia ,
Leo hii media zote kubwa Cnn. Bbc Al-Jazeera , sky news zinaongelea mambo muhimu ila kwa watanzania hadi tutafsiriwe na mukandala
 
This is obvious,
Angalau tushukuru hizo nyingine zimeanza kuleta faida, Maana hii biashara ni kichaa
 
Swali la msingi je alipo kuwepo Magufuli zilii ingiza faida?
 
Sukuma gang sababu iliyotolewa na kichele ni hii, "However, CAG Kichere said poor performance of Boeing was due to low number of passengers and cargo, but also fewer routes than the targeted number.
“Most of routes planned in 2020/21 were cancelled due to low number of passengers that was caused by the outbreak of the Covid-19 pandemic,” CAG Kichere told reporters in Dodoma."wewe hayo ya mama umeyatoa wapi kama sio chuki...Hata leo naamini ukipita pale JNIA utaona mojawapo imepaki labda kama zimeondolewa sasa hivi.
 
Nimekuwekea chanzo cha habari, soma tafadhali; CAG ndio kasema sio mimi; na kaweka Faida kila ndege ilizotengeneza. Kama lugha haipandi sema kuna wadau humu watakusaidia.

Alafu pia hikinkinachozungumzwa hapa ni ni mambo ya Mwaka 21 to 22
 
nakukosoa si awamu ya6 bali awamu ya5 rais wa6.
nakumbusha hata wakati wa marehemu zilileta hasara je alikuwa anasafiri?
Buy ndio ujinga uliptujaa watanzania.
Kwa akili kama zako hizi tunasafari ndefu sana
 
Kwahiyo huwezi kuona kunitumia kwa route hizo tahwa ni ujinga wa kiwango cha rami?
 
Nimekuwekea chanzo cha habari, soma tafadhali; CAG ndio kasema sio mimi; na kaweka Faida kila ndege ilizotengeneza. Kama lugha haipandi sema kuna wadau humu watakusaidia.

Alafu pia hikinkinachozungumzwa hapa ni ni mambo ya Mwaka 21 to 22
Hatubishani lengo ni kuelimishana tu , ikifikia mahala tunaanza kukwaruzana binafsi siwezi endelea . Ripoti ya mwaka jana ninkuwa Atcl imepata hasara kwa miaka mitatu mfululizo

Haihitaji elimu ya degree kumuelewa Cag, Atcl is making losses.mimi ni mdau wa usafiri wa Atcl , hata kwenye bombardier naweza forecast kuwa hawawezi kupata faida, system ya on-line booking tu kwa mfano ina makosa kibao , ive lost number of counts where system inasema 1 last seats kweny booking , unabahatisha seat then muda wa safari unakuta dege lipo half empy.
 
Kwa hiyo unamwamini Kichele?
Sasa kwa Taarifa ya wakati mnatoa sababu za kijinginga kumbuka majirani zetu Uganda wana airbus mbili tu lakini waliweza kupata vibali vya kuruka kwenda Dubai na London, wakati huo ndio Covid imepamba moto.

Hivi mnataka kujifanya kuwa hamkusikia watu wakilalamoka hizi ndege kutumika na mtajwa mpaka kutokea cancellation ya route za abiria kwa shirika?

Si kila mpinga tiny mdosa ni Sukuma Gang dogo.
 
Nashauri tuzipige mnada hizo ndege mbili Dreamliner ili tununue meli kubwa ya kubeba mafuta.... meli hii kubwa tuikabidhi kwa TPDC ili tuwe na uhakika wa kupata mafuta ya uhakika na kwa bei nafuu.
Kwani serikali imeishiwa pesa za kununulia hizo meli.
 
Two Boeing 787-8 Dreamliner aircraft resulted into a loss of Sh23.6 billion despite Air Tanzania cutting its losses from Sh60.2 billion to Sh36.5 billion in 2020-2021, the Controller and Auditor General (CAG) report reveals.
 
Aisee
 
Nashauri tuzipige mnada hizo ndege mbili Dreamliner ili tununue meli kubwa ya kubeba mafuta.... meli hii kubwa tuikabidhi kwa TPDC ili tuwe na uhakika wa kupata mafuta ya uhakika na kwa bei nafuu.
Dah! Yaani Kama Vile Umenunu IST yako Unataka Ubadilishe Ununue Kluger.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…