Mama ni dhahabu yenye thamani kubwa duniani

Hongera mkuu kama baba yako alikupatia mapenzi ambayo mtoto anapaswa kuyapata.
Tumekulia kwenye vipigo ila tulishasamehe.
Pole sana kama na ww una matatizo uliyopitia
HAPANA MKUU WEWE SHIKILIA TU HAPO HAPO.[emoji3][emoji3][emoji16]
 
Katika wanawake 100 utapata mmoja aliyetupa mtoto.
Sisi wanaume ni kawaida kutelekeza watoto hilo linajulikana labda tu ulete ubishi
Usiseme sisi, we jihesabu wewe. Alafu elewa kuna wanaume kutelekeza familia na wanaume kutelekeza watoto. Kama unazungumzia wanaume kutelekeza familia, hata wanawake wapo wanaowaacha mume na watoto wanaenda kwingine. Ila kama Baba analea mtoto peke yake basi ni nadra sana Baba kumtelekeza huyo mtoto asiye na Mama
 
Yupo wapi huyo mkuu?
 
Ni kanuni yako mkuu uliyojiwekea au ndio uhalisia?
Nafikiri hiyo ni kanuni yake hakuna uhalisia wa hivyo sisi katika mafunzo ya kiimani kati ya baba na mama ni yupi apewe kipaumbele jibu lilikuja Mama ikaulizwa tena baada ya mama jibu likaja tena Mama ×3 jibu likaja tena Mama halafu ndio akaja Baba
 
h

Hii ni kuonyesha umuhimu wa mama
 
Tunakula kona tunarudi mtt akifikia umri wa kunyolewa kiduku
Kwa kweli.
Sishangai kwanini wakina ommy dimpoz, diamond hawana kabisa muda na wazee, wanaume mara nyingi hatujali, tunamuacha mwanamke akiwa katika hali ngumu anaanza kupambana mapaka mtoto anakuwa baadae kwenye matunda anaanza kujirudisha
 
Na hapo ndio unaongezeka ubora wa mama
 
Back
Top Bottom