October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Kwa nn anaogopa Redorms?? Refa ww, Linesman ww, kamisaa ww kuna mechi hapo ndugu ??
Hatujaoea dhurma, tuna hofu ya Muumba Mbingu na Nchi.Nyie mnashindwa nini kuwa Refa, Laizmen, kamisaa ..??
CCM VS CCM B VS CCM CWalileta Wachungaji tumewatuliza kama Gaucho minjino atulizavyo mpira.
Wakaleta NRNE ya kina Lisu tukawapa joker wakalilamba. Wameleta wazungu pori tumewalisha ugwadu. Heheee!
Wakamleta Askofu bao la baunsa ametoroka kusokojulikana. Ati wanamtegemea Poyepoye! Hasa! Poye yao. Na bado!
Keyboard warriors wao hatunatabu nao tunajua njaa zawasumbua.
Yaan ww ni miongoni mwa wale Lowasa alisema .Elimu!!Elimu!Elimu:Yaan unashabigia lakini kichwani upo empty!!Pole sana!!Nyie mnashindwa nini kuwa Refa, Laizmen, kamisaa ..??
Hii nimeipenda upewe maua yako. Kwl keyboard warriors wengi wana sononaWalileta Wachungaji tumewatuliza kama Gaucho minjino atulizavyo mpira.
Wakaleta NRNE ya kina Lisu tukawapa joker wakalilamba. Wameleta wazungu pori tumewalisha ugwadu. Heheee!
Wakamleta Askofu bao la baunsa ametoroka kusokojulikana. Ati wanamtegemea Poyepoye! Hasa! Poye yao. Na bado!
Keyboard warriors wao hatunatabu nao tunajua njaa zawasumbua.
Hizo reforms ni za akili zenuKwa nn anaogopa Redorms?? Refa ww, Linesman ww, kamisaa ww kuna mechi hapo ndugu ??