Mama ni kisiki cha Msingi. Kila aliyejaribu ameanguka. Twasubiria uwanjani msikimbize timu

Mama ni kisiki cha Msingi. Kila aliyejaribu ameanguka. Twasubiria uwanjani msikimbize timu

Devotha Minja ndio mshindani wa mama yenu
Naye ni mtanzania amejipima ameona anatosha, tume imempima ikaona ametimiza masharti, sasa we kibwengo usiyejulikana unajua nini, we ni ngiri pori tu.
 
Katika machawa woote wa samia na wana mtandao nakukubali wewe tu. Uandishi wako maneno yako na ujumbe wako havina hata chembe ya unafiki.
Some time huwa zikipita siku mbili hujapost naona kama jikon ubuyu bado unapikwa na sisi tunausubiri.

Ni kweli kabisa samia anacheza karata zake vizuri. Lakini kama kweli samia anajiamini akubali reforms na amtoe lisu gerezani ashindane na mpinzani wa kweli sio hivyo vyama vya maelekezo.
Samia ana kila kitu ana pesa ana jeshi ana mahusiano mazuri na mataifa ana bunge ana mahakama ana tume ya uchaguzi nk. Ana chama kikubwa tawala miaka yote kwa nini asiruhusu demokrasia japo kipindi hiki tu cha uchaguzi awaache chadema wafanye siasa zao uchaguzi ukiisha kila mtu atulie tupige kazi mpaka uchaguzi ujao?
Kuna haja gani ya kuua watu wasio na hatia kuwateka kuwapiga na kuwafunga kwa uonevu?
Kumbuka 4r za samia.
Amekimbia mwenyewe, ht angegombea akishindwa mtarudi huku kulalamika mmeibiwa, nyie ni kwenda nao hivihivi
 
Watu wanauwawa ,wengine jera, wanatekwa , vilema,wengine wanalia hawana sehemu za kuabudu ... mi ninawaambia KARMA iko njiani ,wanaolia Leo hawato lia milele ,na wewe unaofurahi Leo mshahara wa dhambi ni mauti
 
Naandika nafuta.....Acha nitoe decree...Nimeona ndege Yao ikiungua angani...Tanzania njema ni lazima apende au asipende mtu!; ilikuwa ordained tangu 2012 it's a King's decree in Jesus name!
 
""Mnakoenda ndiko alipotoka""
Wazee wa moshi,na matunguri msijisumbue, kiumbe mzito,ukijaribu unaondoka wewe"
""Wajinga ndilo kimbilio lao,msijaribu""
""Huwezi ishinda kudura,kudura ni rehma za maulana mwenyewe,na kisicho rizki hakiliki,mtajisumbua bure,alilopanga mola hakuna wa kulitengua habadani maneno maneno mnenee pweza bomadamu huta muweza katu🪓🪓🪓
#mzaramo miye ngoja niende ngomani!,nikacheze mdundiko🤼🤼🤼
Kaka piga pesa aseee , kama unamsifia mama yenu bure burr tu , utakua unafeli sana
 
20250729_010133.jpg
 
MUNGU kabla hajakupiga kwa mapigo yake makuu huwa anatuma watu kukuonya Ili uiache njia yako ovu na utubu dhambi zako na kumrudia yeye.
Samia tumemuonya sana lakini ameshupaza shingo yake asiweze kumgeukia BWANA MUNGU wake, hivyo kama BWANA aishivyo na kwakuwa hasira yake imezidi sana mpaka imeshindwa kuvumilika Kwa hayo ayafanyayo Samia na genge lake hivyo basi BWANA na ajitwalie utukufu wake kama atakavyo.
 
October 2pm usimalize sana maneno bosi Tanganyika ina mfumo kama kinyonga, hata uwe makini kiasi gani maana kama Mwl Nyerere walipita naya akaja Mkapa wakapita naye yaani hata Sokoine walipita naye, Dkt Magufuli tena rais ambaye yupo Madarakani wakapita naye, Mkapa wakapita naye, Lowasa wakapita naye, Membe wakapita naye yaani lisiti ni ndefu ndefu halafu wameonesha shoo hapa ya mhimili mstaafu wamepita naye, so mfumo wetu ni kinyonga narudia tena, kama wewe upo karibu na Dkt Samia mwambie afanye hivi angalau kujiweka sawa. Kwanza aachane na kugombea, pili akemee mauji na utekaji, mdude na yule kijana aliyechoma bendera apatikane, wauaji wa Mzee Kibao wakamatwe, Lisu aachiwe maana ni kichaa hana madhara.
 
Tutamaliza salama miaka 15 tukiwa Ikulu.
 
Tutamaliza salama miaka 15 tukiwa Ikulu.
Mungu mwema, tunamuombea Mama iwe hivyo. Ila hila nyingi sana kiasi kwamba sisi wa vijijini tunashindwa kujua hasa lipi la ukweli. Ila mshauri asikilize sauti za wapiga kura. Hasa suala la makanisa ni jambo tete linamuweka mazingira Magumu sana. Na pia watu kuuawa apige mkwara.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom