Mama ninakupenda sana (The Images of Mother)

Ujue hatujamalizana na wewe. Nitakujaje mipango hujakamilisha si unajua nauli ya kutoka Imbolu mpaka karatu sasa ni 10,000 na karatu arusha 15,000 arusha dar 35,000 tuma hiyo nauli bana nije na hamu ya kufika dar
Toka uhamie Abbottabad siku hizi hata salamu hutoi? Mzima wewe?
 
Keren kuna mtu kaiba password yako? Maana uliniambia umekosa kile kivazi nikipendacho so hutakwenda tena ikabidi niwe pembeni ya AfroDenzi kumbadilisha nepi katoto TF.

Hahahshhah
eti katoto TF
Kimey wewe hahaaa acha kunichekesha
..dahhhh
 
Keren kuna mtu kaiba password yako? Maana uliniambia umekosa kile kivazi nikipendacho so hutakwenda tena ikabidi niwe pembeni ya AfroDenzi kumbadilisha nepi katoto TF.
Akaanza kujitetea taratibu
Wakubwa wakizungumza we unatakiwa uwe unacheza nje umesikia mtoto mzuri eh?. kwanza uji umekunywa?
Mara akageuka akawa kama Spika wa Bunge
Daahhh
Labda kaidondosha bahati mbay a
maana alikuwa busy na yale makreti yenye maji ya baraka...
Halafu hebu angalia Kimey inawezekana alikuja na pick up baadhi ya kreti hazipo sizioni na zilikuwa hazijaguswa kabisa
Hahahshhah
eti katoto TF
Kimey wewe hahaaa acha kunichekesha
..dahhhh
Umemuona Kimey ananirudisha kwenye 13
 
Ujue hatujamalizana na wewe. Nitakujaje mipango hujakamilisha si unajua nauli ya kutoka Imbolu mpaka karatu sasa ni 10,000 na karatu arusha 15,000 arusha dar 35,000 tuma hiyo nauli bana nije na hamu ya kufika dar
Unajua sis
we tatizo lako unataka kupanda
dar Express ili uangalie TV kwenye basi..
Panda mabasi ya MTEI bei rahisi..ntakulipia kama ni mtei. .. maana mi mwenye nimefukuzwa kazi....mmmhhh
 
Akaanza kujitetea taratibu

Mara akageuka akawa kama Spika wa Bunge

Halafu hebu angalia Kimey inawezekana alikuja na pick up baadhi ya kreti hazipo sizioni na zilikuwa hazijaguswa kabisa

Umemuona Kimey ananirudisha kwenye 13
Hahahah lol
nadhani ana kutetea tu
hamna mbaya lol..
 
Aksante Afrodenzi kwa kutukumbusha siku muhimu kama ya leo kuhusu mama.
Kweli mama ni wa muhimu,mimi nilipata ajali mbaya sana nikiwa mdogo wa umri wa miezi kumi,pamoja na ushirikiano wa baba,ila mama ndiye aliyekuwa na mimi pale Mount Meru Hospital,huwa akinielezea jinsi alivyopita katika kipindi kigumu cha malezi yangu,na ambavyo ndiyo ni mtoto wake wa kwanza moyo wangu huzidi kumpenda.

hata inapotokea watu kunikejeli jinsi nilivyo,nikaugua rohoni nikienda kwake maneno yake hunipa faraja nakuendelea kumuona ni mshindi kwani kwa mateso aliyopata hakushindwa kukata tamaa,bali alizidi kuwa pamoja nami.

na kwasasa mimi ni mama,upendo kwa mama umeendelea kukua zaidi na zaidi.
Namshukuru Mungu sana kwa ajili ya mama yangu, na aendelee kuwapa ulinzi na moyo wa uvumilivu,upendo wamama woote,na wanaotarajia kuwa mama.
 
Unajua sis
we tatizo lako unataka kupanda
dar Express ili uangalie TV kwenye basi..
Panda mabasi ya MTEI bei rahisi..ntakulipia kama ni mtei. .. maana mi mwenye nimefukuzwa kazi....mmmhhh

Ha ha ha Mtei tena jamani mbona nitateseka sana ujue lakini sawa tu kwasababu nataka kufika dar maana sijawahi kufika huko nitumie tu nauli ila sasa bei yake siijui kwa sasa ngoja nitauliza nitakupa jumla yake ni ngapi
 
Kwanza kabisa pole sana dear
kwa yaliyo tokea udigoni.. pili
Nazidi kumwombea mama nguvu ili awafundishe wajuukuu wake mema, busara na hekima na mengine mengi.. tatu pongezi kwako mpenzi kufikia hatua uliyefikia katika maisha yako.. na ninauhakika we ni mama mziri sana kwani unajua uchungu wa mwana..
Mungu akuzidishie mema zaidi..
 
Ha ha ha Mtei tena jamani mbona nitateseka sana ujue lakini sawa tu kwasababu nataka kufika dar maana sijawahi kufika huko nitumie tu nauli ila sasa bei yake siijui kwa sasa ngoja nitauliza nitakupa jumla yake ni ngapi
Hahahahahahahah
dahhhh mtei kwa kweli ndo
mabasi yanijulikana Manyara hahahahahahahah lol..
Haya fanya juu chini basi
Nitumie bei mbili sababu nataka mama aje na wewe..
 
Afro D, siku zote moyo wangu unajua na unaamini Duniani hakuna kama mama. Wabarikiwe wamama wote. Mungu awape maisha marefu. Nampenda sana mama.
 
Aksante Afrodenzi mpenzi kwa pole na pongezi,nami naamini na mimi ni mama mzuri pia.
Nashukuru kwa sala/maombi yako juu ya mama,ni muhimu sana kuwaombea/kuombeana juu ya wamama wote majukumu yao katika jamii yana mchango mkubwa sana.
 
I'ii always consider any woman to be my mother come what may thats what i grew up knowing. Nawapongeza sana kina dada/mama mlioko hapa jamvini!
 
Afro D, siku zote moyo wangu unajua na unaamini Duniani hakuna kama mama. Wabarikiwe wamama wote. Mungu awape maisha marefu. Nampenda sana mama.
Ulichonena ni kweli kabisa dear
Sante sana dada mtamu ubarikiwe sana..
 
To you too darling..I am proud to be a woman, respect to all mothers and JF ladies!..

Nani kama mama!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…