Fidel80 JF-Expert Member Joined May 3, 2008 Posts 21,944 Reaction score 4,511 May 22, 2013 #1 Mama Ntilie nijazie, akiweka mambo sawa jikoni, huku nyuma anafukuza nzi kwa mashuzi ya kushtukiza kwenye nyama.
Mama Ntilie nijazie, akiweka mambo sawa jikoni, huku nyuma anafukuza nzi kwa mashuzi ya kushtukiza kwenye nyama.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 May 22, 2013 #2 sie akina mama ntilie tuna hali ngumu sana sijui kwanini hamtaki kutuboreshea hata mazingira ya kazi yetu.
sie akina mama ntilie tuna hali ngumu sana sijui kwanini hamtaki kutuboreshea hata mazingira ya kazi yetu.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,270 Reaction score 111,361 May 22, 2013 #3 Hivi hawezi kweli kumwaga matone matone ya oil chafu hapo??