Si nasikia wanakulaga paka hao? Wew uko geita au?Wanyaruanda tunao uku kwetu ata wanavyo andaa maziwa yao tangu ukamuaji,vigaa vya kutunzia, mpaka mtindi kila kitu kipo safi. Uwezi kukuta maziwa ya mnyaruanda ameyawekea maji kamwe ila wabongo sasa.
Ripoti imewasifu kuanzia nyakarambi, kirehe, rwamagana, kayonza, chigali, nyabugogo, remera, gisenyi, kote wameonekana wasafiWanyaruanda tunao uku kwetu ata wanavyo andaa maziwa yao tangu ukamuaji,vigaa vya kutunzia, mpaka mtindi kila kitu kipo safi. Uwezi kukuta maziwa ya mnyaruanda ameyawekea maji kamwe ila wabongo sasa.
Mtani tuwapongeze wanyaru Kwa usafi bora kabisaRwanda hakuna Wapumbavu na Wachafu kama huko Kwingineko Mkuu Mtani wangu.
Sio hivo tu maziwa mgando ya Rwanda huitwa chivuguto wao hugandisha, baada ya kuchemsha na maziwa mgando ya Rwanda na Uganda hutopata sehemu yoyote TanzaniaWanyaruanda tunao uku kwetu ata wanavyo andaa maziwa yao tangu ukamuaji,vigaa vya kutunzia, mpaka mtindi kila kitu kipo safi. Uwezi kukuta maziwa ya mnyaruanda ameyawekea maji kamwe ila wabongo sasa.
Kabisa ripoti imejionesha wazi Kwa usafi wako mbali sasa sijui mababu afya wa bongo wako wapiWarwanda wasafi bana
Huko hakuna uchawa uchawa
Ova
Ndio maana ulikimbilia nje ya mji, masoko yetu ni madambo yaliyohai kabisa, na wasimamizi wapo na ushuru wanakusanyaUkienda hapo kabeza market kusafi sana
Sasa njoo sokoni kwangu mtambani kinondoni kuchafu
Ova
Ovyo kabisa,hata hapo kigali City Market wako wasafiNdio maana ulikimbilia nje ya mji, masoko yetu ni madambo yaliyohai kabisa, na wasimamizi wapo na ushuru wanakusanya
Halafu kweli hata mtu wa chini kwenye vijiji vyao ni msafi, unajua ilianzishwa sheria mwanamke ukizaa, ulee mtoto kwanza akiweza kubaki nyumbani ndio uanze kwenda kuuza chakula hasa Tanzania mama ntilie wengi wanaenda na watoto, watoto wanakunya, hapo hapo, wakiwatawaza hawanawi mikono na sabuni, wanakuja kushika vyakula aibu sana, vyombo wanaoshea maji machafu, wenzao wanaoshea maji ya moto na chakula cha mama ntilie Rwanda ni cha moto muda wote rudi upande wa pili aibu tupuOvyo kabisa,hata hapo kigali City Market wako wasafi
Ova
Uwekewe ripoti kosa uitafute usome na weweTuwekee hiyo report