Mama ntilie Tanzania wachafu; wa Rwanda wana usafi wa hali ya juu

Mama ntilie Tanzania wachafu; wa Rwanda wana usafi wa hali ya juu

Wanyaruanda tunao uku kwetu ata wanavyo andaa maziwa yao tangu ukamuaji,vigaa vya kutunzia, mpaka mtindi kila kitu kipo safi. Uwezi kukuta maziwa ya mnyaruanda ameyawekea maji kamwe ila wabongo sasa.
Kweli hii huwa nanunua maziwa kwao wapo makini. Ukienda kibanda umiza (wenyewe wanaita hotel) cha wabongo asee mhudumu tu kikwapa ndio harufu ya eneo zima hajaoga hajapiga mswaki.
 
Hivi mabibi afya na mabwana afya nchi hii wapo kweli?
Ripoti ya wafaransa imeeleza Kwa kina mama ntilie Tanzania ni wachafu kuanzia kutooga, vyombo hawaoshi vizuri na ripoti imesema mama ntilie Tanzania ni sawa na mazingira ya kulelea watoto, yaani kwenye mama ntilie 10 basi saba huenda na watoto wadogo,
Rwanda kinara, imeonekana mama ntilie Rwanda wana usafi wa hali ya juu kuanzia mazingira hadi wao wenyewe, na wamepongezwa sana.
Hivo tukaze buti ili mwaka mwingine walau tuongoze
 
Haya mengine haya hapa hivi wale bibi afya na babu afya hawaajiliwi siku hizi
 
Mama ntilie wengi wa bongo Yale maji yakusuuzia huwa hayana tofauti na Yale ya kuoshea
Maji ya kusuuzia vyombo yanatakiwa kuwa masafi na ya moto sana ili kuua bacteria
Nyama za kukaanga anashika tu na mikono anaweka kwenye bakuli. Nikasema ehee.mtu hanawiii.Hapana
Sasa hivi nanunua mchele wangu nusu na robo napika asubuhi nakula mpaka usiku.
 
Kwahiyo unaunga mkono ripoti
Asee kabisa. Kuna mahali nilipita sasa nilikuwa naenda chaka fulani kwenye mbishe zakuchimbua chimbua kutafuta hela kuna maza anauza vitafunwa ule mfuko wakuwekea kitafunwa haukuwa unafunguka akaweka mdomoni akapuliza ili ujae upepo ufunguke. Tokea siku hiyo asee nikaacha kabisa kununua vitafunwa.

Gross🥶
 
Asee kabisa. Kuna mahali nilipita sasa nilikuwa naenda cha fulani kwenye mbishe zakuchimbua chimbua kutafuta hela kuna maza anauza vitafunwa ule mfuko wakuwekea kitafunwa haukuwa unafunguka akaweka mdomoni akapuliza ili ujae upepo ufunguke. Tokea siku hiyo asee nikaacha kabisa kununua vitafunwa.

Gross🥶
Kwanza alikuwekea mate ndio akakuchanganyia na vitafunwa ukaondoka
 
Si hivyo tu. Utaenda kwa mama ntilie au muuza chipsi,utaona jinsi anavyojitahidi kufanya jambo subtle kuchafua chakula chako .
Yaani inabidi umuangalie kwa makini kama unavymwangalia yule mchezeshaji kamari ya karata tatu.
Yaani you have to beware of sleight of hand.
Watu hawana dini!
 
Hivi mabibi afya na mabwana afya nchi hii wapo kweli?
Ripoti ya wafaransa imeeleza Kwa kina mama ntilie Tanzania ni wachafu kuanzia kutooga, vyombo hawaoshi vizuri na ripoti imesema mama ntilie Tanzania ni sawa na mazingira ya kulelea watoto, yaani kwenye mama ntilie 10 basi saba huenda na watoto wadogo,
Rwanda kinara, imeonekana mama ntilie Rwanda wana usafi wa hali ya juu kuanzia mazingira hadi wao wenyewe, na wamepongezwa sana.
Hivo tukaze buti ili mwaka mwingine walau tuongoze
ni kweli. ila rwanda ina safari ndefu bado kujiweka ligi moja na tz. wasubiri kwanza.
 
Back
Top Bottom