Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekuwa nzi😆?Shombo lile ndio utamu wenyewe
Bongo nchiAachana na bongo miji mingine je?
Duh mzee wako angekojolea nje tu kwasababu wewe ni hasara,,kwasababu wewe unaamini kila kitu kizuri kipo Tanzania tu .. hii hali inatokana na kichwani mwako hamupo sawa hebu fikiria mtu kama wewe unamuita Yesu ni mungu si utahira huo?ni kweli. ila rwanda ina safari ndefu bado kujiweka ligi moja na tz. wasubiri kwanza.
Hizo ajira za mabibi afya ni za kudownload kwanza chuo ninachojua ni kimoja kule bukoba na ni wachache . Tatizo bongo watunga sera za maendeleo ni wanasiasa wa maji taka .Hivi mabibi afya na mabwana afya nchi hii wapo kweli?
Ripoti ya wafaransa imeeleza Kwa kina mama ntilie Tanzania ni wachafu kuanzia kutooga, vyombo hawaoshi vizuri na ripoti imesema mama ntilie Tanzania ni sawa na mazingira ya kulelea watoto, yaani kwenye mama ntilie 10 basi saba huenda na watoto wadogo.
Rwanda kinara, imeonekana mama ntilie Rwanda wana usafi wa hali ya juu kuanzia mazingira hadi wao wenyewe, na wamepongezwa sana. Hivo tukaze buti ili mwaka mwingine walau tuongoze
Hahaha duh! Aisee nilivyo na kinyaa ningemwambia sichukui tena nimuache na uchafu wake huh!Asee kabisa. Kuna mahali nilipita sasa nilikuwa naenda chaka fulani kwenye mbishe zakuchimbua chimbua kutafuta hela kuna maza anauza vitafunwa ule mfuko wakuwekea kitafunwa haukuwa unafunguka akaweka mdomoni akapuliza ili ujae upepo ufunguke. Tokea siku hiyo asee nikaacha kabisa kununua vitafunwa.
Gross🥶
Kuanzia no 3 hapa nimeshuhudia kwa macho yangu,kuna jamaa amewahi kuniambia kuwa kwa Dar akina mama ntilie wengi mafuta wanayopikia mengine yame-expire lakin wao wana-mix na mafuta mazuri3.Kufuta meza na "Sponchi" lenye maji ya sabuni kisha haendi kuosha mikono baada ya kushika spochi la sabuni ,akitoka hapo anaenda kushika chapati au maandazi anakuwekea yaani ni muchafu uchafu.
4.Kuna baadhi ya mama lishe huwa wanarudisha chakula alichobakisha mteja na kwenda kukichanganya na kilichopo na kuwapa wateja wapya.
5.Kutumia viungo vilivyoharibika kutengeneza mchuzi(nyanya masalo au maparachichi mabovu yaliooza kutengeneza juice) au kutumia unga au mchele mbovu ,mafuta wanayotumia kupikia ni yale waliyokaangia samaki au nyama hata kwa mwezi mzima hadi yanakuwa meusi kama mkaa.
6.Mijasho na Minywele kudondokea kwenye jungu la chakula ,utakuta mpikaji ana minywele hata hajafunika na mijasho "iyaaa: inamtiririka mingine inaingia kwenye jungu.
AaahahhaaChunga mkuu! Usije kuambiwa wewe ni Mhamiaji haramu!
Wewe ishia tu kwa Mama anaupiga mwingi!
NdiyoooooooooHivi mabibi afya na mabwana afya nchi hii wapo kweli?
Ripoti ya wafaransa imeeleza Kwa kina mama ntilie Tanzania ni wachafu kuanzia kutooga, vyombo hawaoshi vizuri na ripoti imesema mama ntilie Tanzania ni sawa na mazingira ya kulelea watoto, yaani kwenye mama ntilie 10 basi saba huenda na watoto wadogo.
Rwanda kinara, imeonekana mama ntilie Rwanda wana usafi wa hali ya juu kuanzia mazingira hadi wao wenyewe, na wamepongezwa sana. Hivo tukaze buti ili mwaka mwingine walau tuongoze
Kwa sababu ni kichwa cha mwendawazimu"in Mwinyi"s voice"Inasikitisha sana kila kitu kuwa washika mkia
rwanda ina safari ndefu ipi hiyo?Rwanda ndio nchi inayokuwa kwa spidi kali kwenye ukanda wa Africa masharikini kweli. ila rwanda ina safari ndefu bado kujiweka ligi moja na tz. wasubiri kwanza.
Mkuu usipate tabu yoyote,Hivi mabibi afya na mabwana afya nchi hii wapo kweli?
Ripoti ya wafaransa imeeleza Kwa kina mama ntilie Tanzania ni wachafu kuanzia kutooga, vyombo hawaoshi vizuri na ripoti imesema mama ntilie Tanzania ni sawa na mazingira ya kulelea watoto, yaani kwenye mama ntilie 10 basi saba huenda na watoto wadogo.
Rwanda kinara, imeonekana mama ntilie Rwanda wana usafi wa hali ya juu kuanzia mazingira hadi wao wenyewe, na wamepongezwa sana. Hivo tukaze buti ili mwaka mwingine walau tuongoze
Kuanzia no 3 hapa nimeshuhudia kwa macho yangu,kuna jamaa amewahi kuniambia kuwa kwa Dar akina mama ntilie wengi mafuta wanayopikia mengine yame-expire lakin wao wana-mix na mafuta mazuri
Bongo uchafu ndio unaleta ladha. We jifiche pembeni ya mama ntilie wakiwa wanaandaa chakula, angalia tangu wanaanza hadi mwisho, ni uchafu mtupu. Lakini ndio watu wanakula na unaona vitambi huko mabarabarani.Umekuwa nzi😆?