Mama nyau, nasema ukweli mtupu; sijui vitoto vyako vimeenda wapi.

Mama nyau, nasema ukweli mtupu; sijui vitoto vyako vimeenda wapi.

Yaani ktk viumbe wajinga Nyau nae yumo.
Sasa ona km hapo wanae kaishawachukua bado anarudi tena kuwalilia.Mkuu km vp nunua manati tu mpe moja ya kichwa harudi tena.
 
Itakua wamemuambua wanarudi tena kwako
Kweli asee, nimevisikia vinalia ndani. Nimeenda nimevicheki nimevikuta vimejificha kwenye kona kabisa gizani.
Hii inanipa picha kuwa mama nyau huenda hakuwa mama mzuri.
20180908_150055.jpg
 
Back
Top Bottom