Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Usinisahau na mm Jimmie
nitakustua mkuu usihofu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitakustua mkuu usihofu
Cc mama nyauKwahiyo mama nyau yupo humu jf eenh
Sipendi paka aisee...
Cc mama nyau
siwezi kukusahau dada angu....Usinisahau na mm Jimmie
😎😎😎😎😎ngoja baba nyau afike utaisoma namba ww
Hapana mkuu huyu alikufa kifo cha kawaida tu. Kituo maarufu cha bibi nyau kimetokana na huyo bibi...Yule ambaye alikuja kuuawa na majambazi?
Kweli asee, nimevisikia vinalia ndani. Nimeenda nimevicheki nimevikuta vimejificha kwenye kona kabisa gizani.Itakua wamemuambua wanarudi tena kwako
Mpigie simu awafateKweli asee, nimevisikia vinalia ndani. Nimeenda nimevicheki nimevikuta vimejificha kwenye kona kabisa gizani.
Hii inanipa picha kuwa mama nyau huenda hakuwa mama mzuri.View attachment 860512