Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
kwani unadhani movie zinauza tena muvi pekee waliyonayo kwa sasa ni hii ya kujazwa kwenye makalandinga kufiligisswa kisha kupewa buku 5 wamekomaa sura kwa matatizohawako organised kabisa yani kama watu wa vigodoro huko mtaani
Yani simalenga ndio ka organise press cheap kiasi hiki hata hajawaandikia cha kusema hebu ona walivyo dis organisedJamani ndugu yenu sina mb na simu yangu screen ni ndogo sijaona risiti nimesikia maneno tu au nyinyi mmeona risiti?
Nimemuona Simalenga mfanyakazi wa Clouds na kada wa ccm.
Nimeona wanawake wawili wamevaa nguo za njano na kijani na pazia la kijani kwa nyuma, hizo ndiyo rangi rasmi za taasisi yao?
Ah ni tatizo
Itoke waphivi hakuna movie mpya ?