Mama ongea na Mwanao Wamkana Wema Sepetu

Ukipita kiwanda cha tumbaku huna haja ya kuwambia watu wapige chafya...

Time will tell, kila mmoja kwa wakati wake atapiga chafya tumbaku ikiingia puani.
 
Kanumba alikufaga na sanaa yake,sasa hivi najionea mapichapicha tu
Na huu ndo ukweli has a, Kanumba asingekubali kutumika kipumbavu hivi. Ccm kama taasisi inayoajiri na kulipa lazima idaiwe hilo halina ubishi. Walioihudumia ccm wakati wa kampeni wengi bado wanaidai ikiwemo watu binafsi na VIKUNDI. Si rahisi na kwa hali ilivyokuwa mwaka Jana wasanii wote kulipwa kwa wakati mmoja kama kweli Kazi waliyofanya ilihtaji malipo. Kanumba Mungu aendelee kukuweka pazuri, ila ninalokulaumu ni kutoacha mrithi halisi wa tasnia ya sanaa. Umetuachia wachumia tumbo wasiojitambua na wanaotumika kama big G.
 
Kwa hiyo mnataka bongo movie nao wale wapi?.kila mtu anaangalia maslahi yake.kweli wazungushwe wee wasilipwe kitu? Huyo wema na yeye kuhama unategemea hatolipwa? Maisha magumu.
 
Ukikubali kutumiwa na kutumika unapoteza heshima na hekima, haya mambo wala hayana maana kudai na kudaiwa ni vitu vya kawaida duniani hakuna asiye daiwa wala kudai.Tunaambiwa hapa kwetu hata mtoto aliye zaliwa leo ana deni cha ajabu kipi CCM kudaiwaaaa?
 
Unafiki mtupu...Hao CCM juzi Juzi walisema hawalipi wasanii kama hakuna mkataba na watai hakiki kwanza....sasa leo mnakuja hapo kutoka povu baada ya kuitwa na kutishwa au kupata chochote.
wema yupo right ccm wenyewe walithibisha kuwa wanao daia waende na mikataba. wacheni kutoka povu..

CCM kutowalipa wasanii wasio na ushahidi wa madai yao

labda na shigongo naye atakuja kukanusha kwamba aliambia baba jipoze kwa kunywa maji

Mfanyabiashara Erick Shigongo alia na Deni analoidai CCM, adai Mali alizowekea dhamana mbioni kupigwa Mnada.
 
Tatizo la hii nchi kila mtu anataka kusikia analolipenda, asipolisikia ni matusi na kuponda
 
watu wametoka lokesheni... wana edit kidogo hlf itatoka... sema ndo hatujajua stering atakua nani safari hii.. maana wengine wanakufa kwenye maua mapema sana
ha hahaa kanumba kaondoka na ustelingi wake duh
 
Dah! huu Mtandao kiboko....Kama kuna kakundi kametumwa humu!
 
Wema hajui Chadema, ngoja aingie kwenye list ya watu wanaotumika na kutupwa bila msaada wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…