Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Weupe hupendiFlat screen
Dark
Tall
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weupe hupendiFlat screen
Dark
Tall
Sipendi weupe. Wasukuma warefu ,wembamba na weusi fulani hivi ndio ugonjwa wangu.Weupe hupendi
Watatubaada ya kuingia katika ndoa ungependelea kuwa na watoto wangapi?
Nyani Ngabu (usivimbe kichwa wewe)
naweza ndio maana mapenzi na mtu hutokea popote
nakati ya hao watatu ungependa wa kiume wawe wangapi?Watatu
Eeee [emoji8][emoji8]We mama Sabrina wewe....kumbe nakuvutia eeh?
Haya hebu chagua zawadi...we chagua tu na usijali bei....
age mate huyo... nachukua tu history baadae naenda kumalizana nae PMHiyo ni kweli....😀
SawaSipendi weupe. Wasukuma warefu ,wembamba na weusi fulani hivi ndio ugonjwa wangu.
Mmoja tunakati ya hao watatu ungependa wa kiume wawe wangapi?
E unasemaHiyo ni kweli....😀
Ni mtoto wa mwisho
Mrefu,mweusi halaf bonge la flat screen
Najibuje
Nimependa jibu lako mkuu kujikubali lazima[emoji23] [emoji23] [emoji23] flat screen oyeeeNi mtoto wa mwisho
Mrefu,mweusi halaf bonge la flat screen
Mi flat wewe au mapenzi kengeza eee[emoji23]Hapo umedanganya.
Wewe siyo mweusi. Na hauko bapa....
Utakoma leo...ukidanganya tu nakuzodoa na ukisema kweli nakwambia.
Akili nyingi na mtajiIli utoke kimaisha unahitaji nini
Taja 5
DJ sepetu
huoni hapo incase akiwa a boy hutoitwa mama sabrina? and why only a single babyMmoja tu
Watatu,mmoja awe wa kiume tu wengine wa kikehuoni hapo incase akiwa a boy hutoitwa mama sabrina? and why only a single baby
Siwezi mshauri kituMpe ushauri mjasiriamali mwenye elfu hamsini
DJ sepetu