Mama Sabrina live on muosha rungu live show!

Mama Sabrina unataka mumeo awe Na sifa zipi

DJ sepetu
Kwanza awe mchangamfu ili nikiwa nae nisiboreke na nisipokuwa nae karibu nilie kabisa ,,
Awe smart kichwani ,na uwezo kutafuta pesa ili tuishi vizuri
awe mrefu kiasi na mwili wa mazoezi kiasi tu akivaa tishet au shati nichanganyikiwe ,
Awe anajua mapenzi maana hapa sasa ndipo napopenda na anipe muda wowote nikitaka hata kwenye kichaka ( Ushimen group o hapa linafanya kazi haswa
Tuwe kama kumbikumbi anapoenda nipo ,huwa sipendi kuwa kufuli mie
 
Mumeo akiwa mlevi utamsaidiaje

Ayaaa! Mama Sabrina. Umetaja wajihi wangu.
Mrefu, maji ya kunde, mazoezi kidogo,kichwani nipo vizuri (75%).
Nikija Mza nakusaka.
 
Back
Top Bottom