GE2025 Mama Salma Kikwete kugombea ubunge ni kujivinjia heshima aliyoijenga miaka mingi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kamuulize BABU SEA na PAPII kocha ,kwa nini wali2nga ule wimbo wa mafumbo namna ile,na kwa nini walifungwa kwa kesi ya kubambikiwa mpaka wakajatolewa na MAGUFULI!!!......"KUNGURU " hafuguki man!!
 
Kamuulize BABU SEA na PAPII kocha ,kwa nini wali2nga ule wimbo wa mafumbo namna ile,na kwa nini walifungwa kwa kesi ya kubambikiwa mpaka wakajatolewa na MAGUFULI!!!......"KUNGURU " hafuguki man!!
Ni hatari
 
Wa kulaumiwa wa kwanza kabisa ni JPM aliyejichanganya kumzawadia ubunge.
Wa kulaumiwa wengine ni hawa wanaompitisha sasa kwa uroho wao na maslahi yao binafsi.
 
Inashang
...SI unaona Mzee anavyopita huku na kule kama ndio Raisi ??
Inashangaza sana ndg yangu,ila ndiye bosi wa bosi mkuu ,halafu anasema hatutakiwi kushangaa ni jambo la kawaida tu hilo.!!!?
 
Mkuu hii Familia ya mstaafu hawana Aibu kabisa, uchu wa madaraka, kutokutosheka kiujumla wanaendeleza UHUNI wao.
 
kweli
Magufuli alikuwa na mapungufu kama binadamu wa kawaida
ILA
katika swala la malezi
kwangu binafsi atabaki kuwa
MZAZI NA BABA BORA WA MUDA WOTE.

Magufuli alijua vizuri malezi ya watoto wake.
Hata huyu Jesca hadi kujulikana kipindi kile
ni baada ya kufeli shuleni.

Na siku ya msiba wa baba yao
ndipo watu waliwaona vijana wakubwa kabisa wa marehemu.

Hatukuwahi kusikia wala kuwasoma sehemu
wakirumbana na trafic barabarani, kukwepa kodi bandarini wala kutumia nafasi ya baba yao kwa manufaa yao binafsi.

Je, ni nani hakuwafahamu akina Miraji kikwete, Ridhiwani kikwete?
ama hata huyu Abdul Samia?

Kwani Magufuli alishindwa kuwapa wanae hiyo nafasi?
Hata huyu Jesca kugombea mwaka huu
huo ubunge ni kiini macho tu
kutoka ile kambi ya mstaafu
wakiwaza kura za ukanda wa ziwa.
 
Tuko pabaya
 
Ni mambo ya ajabu sana.

Sijawahi hata kuelewa anaongea nini.

Kuna watu sijui wanatumia uchawi? What is special about this woman?
 
Umesahau kimoja, analipwa mshahara wa u first lady asilimia 20 ya mshahara wa Rais aliepo madarakani mf; Rais analipwa 100milioni yeye anakula 20m jumlisha 18m ya ubunge
 
Watasema pesa hazijawahi tosheleza mbona turampu aligombea urais mara ya kwanza na baadae akagombea tena.hahahaha akili za ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…