GE2025 Mama Salma Kikwete kugombea ubunge ni kujivinjia heshima aliyoijenga miaka mingi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ametumia haki yake ya kikatiba ambayo wewe hukuamua kuitumia,ingekuwepo sheria inayo mtaka first lady mstaafu atulie nyumbani,basi tusingeweza kumuona mtu kama Hairy Clinton mke wa raisi wa zamani wa Marekani Billy Clinton,akigombea kiti Cha uraisi wa Marekani,japo alishindwa,aliweza kuingia kwenye kumbukumbu za historia.
 
Naunga mkono HOJA ,kwa hili la Mama Kikwete na Ubunge, yeye na Mr hawakuufikirisha BONGO zao vizuri..kutoka kuwa Mshauri namba 01 wa Mkuu wa nchi nje ya mfumo rasmi hadi kugombania kuku chako ni chako..nadhani sio sawa...achia hiyo nafasi nenda ukamlee Mzee, HUJACHELEWA
 
Lkn wakati mwingine it's good to keep your wife busy

Akiwa jobles anaweza ruka hata na muuza mchicha mm mtu mzima naelewa
 
Ametumia haki yake ya kikatiba ambayo wewe hukuamua kuitumia,ingekuwepo sheria inayo mtaka first lady mstaafu atulie nyumbani,basi tusingeweza kumuona mtu kama Hairy Clinton mke wa raisi wa zamani wa Marekani Billy Clinton,akigombea kiti Cha uraisi wa Marekani,japo alishindwa,aliweza kuingia kwenye kumbukumbu za historia.
Kila kitu sio mpaka kiandikwe kwenye katiba, wewe kama mtu mzima unaweza kula sokoni kwakuwa katiba haijaandika?

Huyo Clinton aligombea ubunge?
Mama Salma Kwa hadhi aliyoifikia alitakiwa agombee Urais
 
Sijui yeye na mumewe walijadili nini ila ni wazi hakuna maelewano kati yao.
Jakaya alipenda umagharibi si ajabu akamuacha mkewe awe vile anataka awe, basi hivi ndivyo mama Salma anataka awe.
 
Huyu mama ashakuwa First lady na Sasa ni First Mstaafu wa Rais awamu ya nne

First lady anaambatana na mmewe kukagua gwaride la heshima ndani na nje ya nchi

Anapigiwa mizinga

First lady ameishi Ikulu Kwa miaka 10, tena pale Magogoni akibarizi na upepo wa bahari

First lady Bi Salma alikuwa na foundation yake na ilifanya vyema

First lady anagharamikiwa na Serikali Kwa lolote hadi hapo kifo kitakapomchukua

Ni nini anatafuta huyu mama kwenye ubunge, mbona hatuoni wake wa wastaafu wengine wakihangaika na ubunge.

Huyu mama Huwa anamshauri nini Mzee wetu Mstaafu, kama Kwa yeye aliyeishi Ikulu kama kwake anahangaika na ubunge

Huyu mama hata bungeni Huwa hajengi hoja ya kueleweka.

Waliopo karibu nae na wanaompenda wamshauri aachane na hivi vyeo vya ubunge

Ona Leo familia inajadiliwa na wananchi kisa yeye

Mbona Mama Janeth Magufuli, Anna Mkapa, Sitti Mwinyi, Maria Nyerere wametulia na wala hakuna anayewajadili

Mama Salma aache uchu wa madaraka aache Watanzania wengine ambao hata hawatafika nafasi aliyoifikia wapate hizo nafasi

Kwani alisahau nini? Mbona hatosheki?
Hata kwenye wizi ni hivyohivyo huwa hawana aibu
 
I
Kila kitu sio mpaka kiandikwe kwenye katiba, wewe kama mtu mzima unaweza kula sokoni kwakuwa katiba haijaandika?

Huyo Clinton aligombea ubunge?
Mama Salma Kwa hadhi aliyoifikia alitakiwa agombee Urais
Inawezekana hiyo ilikuwa ni ambition yake tangu alipokuwa mdogo alifikiria ipo siku moja atakuwa mbunge,ndiyo maana haeleweki kutoka kwenye ufirst lady kwenda kwenye ubunge.
 
Huyu mama ashakuwa First lady na Sasa ni First Mstaafu wa Rais awamu ya nne

First lady anaambatana na mmewe kukagua gwaride la heshima ndani na nje ya nchi

Anapigiwa mizinga

First lady ameishi Ikulu Kwa miaka 10, tena pale Magogoni akibarizi na upepo wa bahari

First lady Bi Salma alikuwa na foundation yake na ilifanya vyema

First lady anagharamikiwa na Serikali Kwa lolote hadi hapo kifo kitakapomchukua

Ni nini anatafuta huyu mama kwenye ubunge, mbona hatuoni wake wa wastaafu wengine wakihangaika na ubunge.

Huyu mama Huwa anamshauri nini Mzee wetu Mstaafu, kama Kwa yeye aliyeishi Ikulu kama kwake anahangaika na ubunge

Huyu mama hata bungeni Huwa hajengi hoja ya kueleweka.

Waliopo karibu nae na wanaompenda wamshauri aachane na hivi vyeo vya ubunge

Ona Leo familia inajadiliwa na wananchi kisa yeye

Mbona Mama Janeth Magufuli, Anna Mkapa, Sitti Mwinyi, Maria Nyerere wametulia na wala hakuna anayewajadili

Mama Salma aache uchu wa madaraka aache Watanzania wengine ambao hata hawatafika nafasi aliyoifikia wapate hizo nafasi

Kwani alisahau nini? Mbona hatosheki?
MIMAMA MINGINE NI AIBU TUPU.
 
Ukishangaa ya Mzee wa Msoga utayaona ya M7!
Waganda wao waliamua kukubaliana na hali.
Kwetu kama Rais wetu ana Bosi wake tusemeje?
 
Back
Top Bottom