Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,594
- 1,806
Kila kitu sio mpaka kiandikwe kwenye katiba, wewe kama mtu mzima unaweza kula sokoni kwakuwa katiba haijaandika?Ametumia haki yake ya kikatiba ambayo wewe hukuamua kuitumia,ingekuwepo sheria inayo mtaka first lady mstaafu atulie nyumbani,basi tusingeweza kumuona mtu kama Hairy Clinton mke wa raisi wa zamani wa Marekani Billy Clinton,akigombea kiti Cha uraisi wa Marekani,japo alishindwa,aliweza kuingia kwenye kumbukumbu za historia.
Kazi iendeleeUmesahau kimoja, analipwa mshahara wa u first lady asilimia 20 ya mshahara wa Rais aliepo madarakani mf; Rais analipwa 100milioni yeye anakula 20m jumlisha 18m ya ubunge
Uzi ufungwe hapaTafakari watu wanaoitwa Salma
Hata kwenye wizi ni hivyohivyo huwa hawana aibuHuyu mama ashakuwa First lady na Sasa ni First Mstaafu wa Rais awamu ya nne
First lady anaambatana na mmewe kukagua gwaride la heshima ndani na nje ya nchi
Anapigiwa mizinga
First lady ameishi Ikulu Kwa miaka 10, tena pale Magogoni akibarizi na upepo wa bahari
First lady Bi Salma alikuwa na foundation yake na ilifanya vyema
First lady anagharamikiwa na Serikali Kwa lolote hadi hapo kifo kitakapomchukua
Ni nini anatafuta huyu mama kwenye ubunge, mbona hatuoni wake wa wastaafu wengine wakihangaika na ubunge.
Huyu mama Huwa anamshauri nini Mzee wetu Mstaafu, kama Kwa yeye aliyeishi Ikulu kama kwake anahangaika na ubunge
Huyu mama hata bungeni Huwa hajengi hoja ya kueleweka.
Waliopo karibu nae na wanaompenda wamshauri aachane na hivi vyeo vya ubunge
Ona Leo familia inajadiliwa na wananchi kisa yeye
Mbona Mama Janeth Magufuli, Anna Mkapa, Sitti Mwinyi, Maria Nyerere wametulia na wala hakuna anayewajadili
Mama Salma aache uchu wa madaraka aache Watanzania wengine ambao hata hawatafika nafasi aliyoifikia wapate hizo nafasi
Kwani alisahau nini? Mbona hatosheki?
Inawezekana hiyo ilikuwa ni ambition yake tangu alipokuwa mdogo alifikiria ipo siku moja atakuwa mbunge,ndiyo maana haeleweki kutoka kwenye ufirst lady kwenda kwenye ubunge.Kila kitu sio mpaka kiandikwe kwenye katiba, wewe kama mtu mzima unaweza kula sokoni kwakuwa katiba haijaandika?
Huyo Clinton aligombea ubunge?
Mama Salma Kwa hadhi aliyoifikia alitakiwa agombee Urais
MIMAMA MINGINE NI AIBU TUPU.Huyu mama ashakuwa First lady na Sasa ni First Mstaafu wa Rais awamu ya nne
First lady anaambatana na mmewe kukagua gwaride la heshima ndani na nje ya nchi
Anapigiwa mizinga
First lady ameishi Ikulu Kwa miaka 10, tena pale Magogoni akibarizi na upepo wa bahari
First lady Bi Salma alikuwa na foundation yake na ilifanya vyema
First lady anagharamikiwa na Serikali Kwa lolote hadi hapo kifo kitakapomchukua
Ni nini anatafuta huyu mama kwenye ubunge, mbona hatuoni wake wa wastaafu wengine wakihangaika na ubunge.
Huyu mama Huwa anamshauri nini Mzee wetu Mstaafu, kama Kwa yeye aliyeishi Ikulu kama kwake anahangaika na ubunge
Huyu mama hata bungeni Huwa hajengi hoja ya kueleweka.
Waliopo karibu nae na wanaompenda wamshauri aachane na hivi vyeo vya ubunge
Ona Leo familia inajadiliwa na wananchi kisa yeye
Mbona Mama Janeth Magufuli, Anna Mkapa, Sitti Mwinyi, Maria Nyerere wametulia na wala hakuna anayewajadili
Mama Salma aache uchu wa madaraka aache Watanzania wengine ambao hata hawatafika nafasi aliyoifikia wapate hizo nafasi
Kwani alisahau nini? Mbona hatosheki?
Na bado kalipwa pesa ya kuwa mke wa rais. Yaani sasahivi ukiwa mke wa kiongozi mkubwa unalipwa hela.Tamaa na kutorodhika
Wanatuharibia nchi kwa tamaa zao mkuuNa bado kalipwa pesa ya kuwa mke wa rais. Yaani sasahivi ukiwa mke wa kiongozi mkubwa unalipwa hela.