Mama Salma Kikwete

kat.ph

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,222
Reaction score
1,678
Habari ndugu;
Straight to the topic. Katika wake wa marais niliobahatika kuwaona hapa Tanzania. ..... first lady wa sasa...yaani mama Salma Kikwete kweli anajua kuvaa compared na hao waliopita.
Kwa hilo nampa heko sana kwakweli anatuwakilisha vizuri hasa kinamama kwenye suala la mavazi....... huwa ananoga sana.
Tyta ukinisaidia picha zake humu nitashukuru
 
Last edited by a moderator:

 
Kweli anajua kuangilia pamba first lady wetu,hongera mkulu wa kaya j.k. Kwa uchaguzi wako.
 

(Mama Maria Nyerere (katikati) Mama Siti Mwinyi (kushoto) na Mama Salma Kikwete)


(Anna Mkapa)
 
Anazitendea haki kodi za wananchi
 
Mke wa Rais ambaye hajavuma na havumi ni Mke wa Mwinyi,hata jina lake silifahamu
 
kusema ukweli mama kanogaaa, anajua kuvaa sana na napenda anavyoenzi vazi letu la taifa vitenge, na anavijulia kweli kupangilia in short she is hot.

Ila huyu mamkubwa wa Ben mh ngoja nipite tu nisije kula ban bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…