tehe tehe tehe nafa mie.vp zipo madukani au bado?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tehe tehe tehe nafa mie.vp zipo madukani au bado?
Ni mama mwenye pesa;
lakini sura ndo kama kalamba ndimu.
je angekuwa lofa kama sie huku angekuwaje.
Hapana chezea Lindi kwa kweli.
![]()
(Mama Maria Nyerere (katikati) Mama Siti Mwinyi (kushoto) na Mama Salma Kikwete)
![]()
(Anna Mkapa)
Wamaviha wazurii mweh
Naona siti ameezeeka sasa, enzi zake nae alikuwa bomba compare na mke mwenzake
Awamu ya tatu mmmh! naogopa mie
Mama Maria twakutakia kila la heri mama
Wamaviha wazurii mweh
Mndengereko huyo!!fuatilia vizuri historia yake,
Uzuri nao unachangia.