Mama Salma Kikwete

Mama Salma Kikwete

Naona siti ameezeeka sasa, enzi zake nae alikuwa bomba compare na mke mwenzake
Awamu ya tatu mmmh! naogopa mie
Mama Maria twakutakia kila la heri mama

images

(Mama Maria Nyerere (katikati) Mama Siti Mwinyi (kushoto) na Mama Salma Kikwete)

EOTF-chairperson-Mama-Anna-Mkapa.jpg

(Anna Mkapa)
 
Naona siti ameezeeka sasa, enzi zake nae alikuwa bomba compare na mke mwenzake
Awamu ya tatu mmmh! naogopa mie
Mama Maria twakutakia kila la heri mama

Hahahahahaha, mie sina la kusema maana yasije nikuta makubwa.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Mama Salma Kikwete kuvaa havai sana ila kinachofanya aonekane kupendeza kwenye mavazi ni hiyo round and pretty face yake.
 
Mama viremba anaonyesha kwamba sio lazima ukae uchi au kuvaa vimini ndo mtu upendeze
 
Back
Top Bottom