Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And what is she doing campaigning for CCM??? is it really acceptable...?
kwanini asishughulike na mambo yake na kampeni awaachie zinazowahusu,
Jamani alishasema suala la kutafuta urais ni la kifamilia ndiyo maana akamtuma mwanae kutembeza fomu ya kutafuta wadhamini. Huwa hajui madhara ya anayoyasema na anayoyatenda...kitendo cha kikwete kuwaamini zaidi familia yake kuliko chama kinawatia simanzi baadhi ya viongozi wa chama ...ni mara ya kwanza tunaona hili...nyerere hakutumia familia kufanya kampeni........na hata mdogo wake Joseph Kizurira Nyerere...alikuwa mwanzilishi wa TANU-YL....hakuwahi kumfanyia kampeni kaka yake....mke wa nyerere hakufanya hivo..
Mzee mwinyi hakutumia familia kwenye siasa...hata Hussein Mwinyi Amekuja kupewa kazi na Mkapa...na si babake.......
Ni kashfa leo kwa rais kwanza kutoamini sekretarieti ya chama chake kumtafutia wadhamini na kutumia familia..na zinakuja kampeni ...anaamini zaidi mkewe na mwanaye kwenye kampeni sasa maana ya chama ni nini???...na hakuna chama kilichokamilika ki organisatio kama CCM ,ina maana hawaamini watendaji wake??????
INATAKIWA MABADILIKO YA KATIBA KWENYE VYAMA NA SERIKALINI ILI KUWEKA MKAZO KWENYE HILI.......HAIWEZEKANI FAMILIA MOJA INATAKA KUKITEKA CHAMA TENA KIKONGWE KUANZIA CHIPUKIZI HADI JUU...
Salma uwezo wake wa kufikiri ni mdogo mhurumieni tu. Hukumbuki enzi za 2005 alipoingia tu Ikulu alivyokuwa anasoma hotuma alizoandaliwa kama mtoto wa chekechea? Walau sasa anaweza kusoma hotuba anayoandaliwa kama mtoto wa darasa la saba. Lakini uwezo wa kusema hata kilichoandikwa kwenye hotuba bado hana.
Tumhurumie kwani hata mtoto anapozaliwa lazima aanze kutambaa, kabla hajakimbia
Huyu mama ana matatizo sana, hivi toka lini vyama vya upinzani vikawa adui wa chama tawala? Maneno haya ni ya kuvuruga amani na kuleta uchochezi baina ya wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa ndio maana tunashuhudia mapigano kati ya wafuasi wa CCM na vyama vingine! "Mimi sio mama wa Nyumbani" sasa je, nani alikuwa ni mama wa nyumbani pale ikulu? Je, huku sio kumkejeli Mama Maria Nyerere!?
WAMA haiwezi kufanya kazi chini ya serikali ya chama kingine, je si kwamba WAMA haifuati sheria katika kazi zake? WAMA ni taasisi ya CCM na kwa maana hiyo imevunja sheria za kusajili NGOs nchini, waziri mwenye dhamana hii alifanyie kazi hili!
Je, CCM ikianguka ndio mwisho wa WAMA? Hivi hayo maendeleo ni ya wanawake wa CCM tu?
Source: Majira 21/09/2010
Hivi tunategemea kusikia nini kutoka kwa kiongozi wa NGO inayodhaminiwa na Sophia Simba?[/QUOTE]
Swadakta, hapa umegonga ikulu.
Jamani tusiumize vichwa vyetu kwa kuwajadili watu ambao IQ zao ni kama za panya. Huyo mama sehemu yake nzuri ni kuwa KUNGWI na muongoza sherehe za KICHEN PARTY, yeye anafaa kuangaika KUWAFUNDA watoto ambao wapo unyago (mwali) ili siku ya MKOLE wacheze vizuri na wapendeze ili wapate waume mapema, hiyo ndio fani yake. Huyo kashindwa kazi ya ualimu wa shule ya msingi (alikuwa anawauzia walimu wenzake vipindi ili yeye apige soga STAFF room pale MBUYUNI PRIMARY SCHOOL) ataweza u FIRST LADY? Yaani kani kwaza sana kwa KUMRUSHIA MIPASHO mama MARIA NYERERE yaani kweli Mama SALMA wewe wa kumdhihaki mama MARIA kweli madaraka yanalevya, kiasi unashindwa kuuona ukweli. Endelea tu na dhihaka zako lakini kumbuka IKULU mepanga kunasiku na wewe utakuwa unapita nje ya fencehukiwa ujui nini kinaendelea humo ndani.