Elections 2010 Mama Salma: wapinzani ni maadui

Elections 2010 Mama Salma: wapinzani ni maadui

A guileless gaffe if indeed the comment was made. Do we have a direct quote ?
 
duuu jamani mimi hoi Inamaana kabadili nafasi ya nani kwenye kampeni nakumbuka kipindi cha Mkapa, Nyerere alimkampenia lakini safari hii ya kikwete jamani huyu mama anakampeni inamaana hakukoma alipozomewa Mbeya. ccm tumeshindwa kabisaa mtu wakufanya kazi hii au kunakitu ambacho wanachama hatujui kabisaa kuhusu hii hali!!
ccm oyeeeee!
 
...kitendo cha kikwete kuwaamini zaidi familia yake kuliko chama kinawatia simanzi baadhi ya viongozi wa chama ...ni mara ya kwanza tunaona hili...nyerere hakutumia familia kufanya kampeni........na hata mdogo wake Joseph Kizurira Nyerere...alikuwa mwanzilishi wa TANU-YL....hakuwahi kumfanyia kampeni kaka yake....mke wa nyerere hakufanya hivo..
Mzee mwinyi hakutumia familia kwenye siasa...hata Hussein Mwinyi Amekuja kupewa kazi na Mkapa...na si babake.......

Ni kashfa leo kwa rais kwanza kutoamini sekretarieti ya chama chake kumtafutia wadhamini na kutumia familia..na zinakuja kampeni ...anaamini zaidi mkewe na mwanaye kwenye kampeni sasa maana ya chama ni nini???...na hakuna chama kilichokamilika ki organisatio kama CCM ,ina maana hawaamini watendaji wake??????

INATAKIWA MABADILIKO YA KATIBA KWENYE VYAMA NA SERIKALINI ILI KUWEKA MKAZO KWENYE HILI.......HAIWEZEKANI FAMILIA MOJA INATAKA KUKITEKA CHAMA TENA KIKONGWE KUANZIA CHIPUKIZI HADI JUU...
 
And what is she doing campaigning for CCM??? is it really acceptable...?
kwanini asishughulike na mambo yake na kampeni awaachie zinazowahusu,

Dada urais kwa JK ni suala la kifamilia na rafiki zao tu, ndo maana wanahangaika, baba, mama na mtoto kuutafuta huo urais ili waendelee kuoinyonya tu hii nchi. Wananchi wanapaswa kulitambua hili na waseme hapana kwa Kikwete na CCM yake hiyo tarehe 31 Oktoba 2010.
 
NI TUSI KWA SALMA KUSEMA YEYE "SI MKE WA NYUMBANI"..hii ni sawa na kumnanga mama maria kwa kweli....naunga mkono aliyesema hili...pia ni upeo mdogo .....kwani kazi ya mke mwadilifu wa rais si siasa..bali zipo nyingi.......ikiwemo kusaidia yatima ,walemavu ...na watoto......ni mlezi wa mumewe na Taifa.............tumempa rais wetu atutunzie ...tunamlipa kwa hilo....sasa kuanza Siasa na kukejeli haipendezi.....
MWEZAKE KIBAKI SIKU HIZI WATU WAKE WAMEAMUA KUMFUNGIA MKEWE NDANI KWA NGUVU KATIKA BAADHI YA SHUGHULI BAADA YA KUONEKANA ANATUMIA MADARAKA YA MUME VIBAYA...ITABIDI WATU WA USALAMA WAANGALIE HILI!!
 
kumsaidia Mr kwenye kampeni si kitu kibaya lakini kinachotokea sasa ni dhahili CCM imekufa, Bwana mkubwa hawaamini tena kina makambale na kinaniii, wakati yeye yuko Dom,Bimkubwa yuko Geita na Bwamdogo Ridhi Lindi, Roma ilianguka,Alexanda the great alianguka, Genghis khan alianguka walishafika peak sasa wanaanguka msiwashangae!
 
Salma uwezo wake wa kufikiri ni mdogo mhurumieni tu. Hukumbuki enzi za 2005 alipoingia tu Ikulu alivyokuwa anasoma hotuba alizoandaliwa kama mtoto wa chekechea? Walau sasa anaweza kusoma hotuba anayoandaliwa kama mtoto wa darasa la saba. Lakini uwezo wa kusema hata kilichoandikwa kwenye hotuba bado hana.

Tumhurumie kwani hata mtoto anapozaliwa lazima aanze kutambaa, kabla hajakimbia
 
...kitendo cha kikwete kuwaamini zaidi familia yake kuliko chama kinawatia simanzi baadhi ya viongozi wa chama ...ni mara ya kwanza tunaona hili...nyerere hakutumia familia kufanya kampeni........na hata mdogo wake Joseph Kizurira Nyerere...alikuwa mwanzilishi wa TANU-YL....hakuwahi kumfanyia kampeni kaka yake....mke wa nyerere hakufanya hivo..
Mzee mwinyi hakutumia familia kwenye siasa...hata Hussein Mwinyi Amekuja kupewa kazi na Mkapa...na si babake.......

Ni kashfa leo kwa rais kwanza kutoamini sekretarieti ya chama chake kumtafutia wadhamini na kutumia familia..na zinakuja kampeni ...anaamini zaidi mkewe na mwanaye kwenye kampeni sasa maana ya chama ni nini???...na hakuna chama kilichokamilika ki organisatio kama CCM ,ina maana hawaamini watendaji wake??????

INATAKIWA MABADILIKO YA KATIBA KWENYE VYAMA NA SERIKALINI ILI KUWEKA MKAZO KWENYE HILI.......HAIWEZEKANI FAMILIA MOJA INATAKA KUKITEKA CHAMA TENA KIKONGWE KUANZIA CHIPUKIZI HADI JUU...
Jamani alishasema suala la kutafuta urais ni la kifamilia ndiyo maana akamtuma mwanae kutembeza fomu ya kutafuta wadhamini. Huwa hajui madhara ya anayoyasema na anayoyatenda
 
Salma uwezo wake wa kufikiri ni mdogo mhurumieni tu. Hukumbuki enzi za 2005 alipoingia tu Ikulu alivyokuwa anasoma hotuma alizoandaliwa kama mtoto wa chekechea? Walau sasa anaweza kusoma hotuba anayoandaliwa kama mtoto wa darasa la saba. Lakini uwezo wa kusema hata kilichoandikwa kwenye hotuba bado hana.

Tumhurumie kwani hata mtoto anapozaliwa lazima aanze kutambaa, kabla hajakimbia

...THOSE DAYS...duuu nilikuwa nazima TV...kwa namna alivyokuwa akihutubia kama mtoto anayejifunza kusoma na macho ameyatoa kama mjusi kabanwa na mlango..hatizami pembeni!!...siku hizi at least kwenye public speaking unaweza kumpa 21%.............kwa ordinary level hicho ni ki D cha kwanza...advanced na college level that is still poor F...
 
Huyu mama ana matatizo sana, hivi toka lini vyama vya upinzani vikawa adui wa chama tawala? Maneno haya ni ya kuvuruga amani na kuleta uchochezi baina ya wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa ndio maana tunashuhudia mapigano kati ya wafuasi wa CCM na vyama vingine! "Mimi sio mama wa Nyumbani" sasa je, nani alikuwa ni mama wa nyumbani pale ikulu? Je, huku sio kumkejeli Mama Maria Nyerere!?

WAMA haiwezi kufanya kazi chini ya serikali ya chama kingine, je si kwamba WAMA haifuati sheria katika kazi zake? WAMA ni taasisi ya CCM na kwa maana hiyo imevunja sheria za kusajili NGOs nchini, waziri mwenye dhamana hii alifanyie kazi hili!

Je, CCM ikianguka ndio mwisho wa WAMA? Hivi hayo maendeleo ni ya wanawake wa CCM tu?

Source: Majira 21/09/2010

Uwezo wake ni mdogo sana. Kama ni computer basi bado ipo DOS yaani kama amaepanda sana basi Pentium 2. Ukiwasha unaenda kuoga ukirudi bado ina boot. Mwoneeni huruma
 
Jamani tusiumize vichwa vyetu kwa kuwajadili watu ambao IQ zao ni kama za panya. Huyo mama sehemu yake nzuri ni kuwa KUNGWI na muongoza sherehe za KICHEN PARTY, yeye anafaa kuangaika KUWAFUNDA watoto ambao wapo unyago (mwali) ili siku ya MKOLE wacheze vizuri na wapendeze ili wapate waume mapema, hiyo ndio fani yake. Huyo kashindwa kazi ya ualimu wa shule ya msingi (alikuwa anawauzia walimu wenzake vipindi ili yeye apige soga STAFF room pale MBUYUNI PRIMARY SCHOOL) ataweza u FIRST LADY? Yaani kani kwaza sana kwa KUMRUSHIA MIPASHO mama MARIA NYERERE yaani kweli Mama SALMA wewe wa kumdhihaki mama MARIA kweli madaraka yanalevya, kiasi unashindwa kuuona ukweli. Endelea tu na dhihaka zako lakini kumbuka IKULU mepanga kunasiku na wewe utakuwa unapita nje ya fencehukiwa ujui nini kinaendelea humo ndani.

Duh! Hii kama siyo roho mbaya, basi ni roho korosho. Sasa hiyo mipasho aliyorushiwa mama Maria Nyerere unaijua wewe tu? Basi wewe unahitaji kungwi zaidi na hivyo unamuhitaji Mama Salma Kikwete zaidi kuliko mtu yeyote mwengine.
 
Back
Top Bottom