Mama Samia asali uliyompimia Mbowe muongezee kidogo maana naona kama imepungua akikuzingua mpe Alovera

Mama Samia asali uliyompimia Mbowe muongezee kidogo maana naona kama imepungua akikuzingua mpe Alovera

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Naona Mbowe asali aliyopewa ilikuwa ya kuonjeshwa haijamtidhisha ameanza chokochoko za Kizee ili apewe asali nyingine tena lkn mimi namshauri Samia aendelee kumpa asali ya kuonja ili awe mvumilivu

ukifika wakati wa kumpa ya kunywa achanganye na Alovera hii ni chungu ataitema japo vile viuchungu vidogo vitakuwa vimemponesha kabisa na hatimaye atarudi kulea wajukuu zake huko Hai huyu babu Mbowe
 
Back
Top Bottom