Mama Samia, chondechonde na Ardhi yetu kwa Wakenya

Kwa kweli hakuna kitu ninachokimezea mate sana kama ardhi ya TZ...nyie Jamaa mna ardhi kubwa sana tena arable na mvua ya kutosha mkitaka kufanya industrial farming kama kule Australia mtafaulu sana haswa kwa mimea kama sugarcane, rice ,wheat that Kenya heavily imports...kisha u don't even tax farm inputs like Tractors ...kuna yule Jamaa mtanzania aliyeuza mabasi yake 80 na kuwekeza katika hii sekta nafikiri anaitwa Salum Sumri alinipendeza sana!
 
Wee punguza u ccm za singinda.
In Canada there is no title to land.
Bongo ni lala, supu mtu kwa wengi
 
Kwanza bei ya shamba huko Tanzania ni nafuu sana. Tutamwagika huko kama uji.
Now umethibitisha ni jinsi gani unausudu nchi yetu, njooni muone kama panga hazijawahusu, hatuna huruma tuna amani atutaki ugaidi wenu
 
Kwa kweli hakuna kitu ninachokimezea mate sana kama ardhi ya TZ...nyie Jamaa mna ardhi kubwa sana tena arable na mvua ya kutosha mkitaka kufanya industrial farming kama kule Australia mtafaulu sana haswa kwa mimea kama sugarcane, rice ,wheat that Kenya heavily imports...kisha u don't even tax farm inputs like Tractors ...kuna yule Jamaa mtanzania aliyeuza mabasi yake 80 na kuwekeza katika hii sekta nafikiri anaitwa Salum Sumri alinipendeza sana!
[emoji91][emoji91][emoji91]
 
Now umethibitisha ni jinsi gani unausudu nchi yetu, njooni muone kama panga hazijawahusu, hatuna huruma tuna amani atutaki ugaidi wenu
Mna amani gani ikiwa mnataka kutumia panga? Unajua maana ya amani wewe?
 
Tutakuja na Tutanunua TZ shamba Nusu Nchi,we are Investers and investing has No limitations😛Meza wembe🤣🤣🤣
Nchini tanzania sheria zinazosimamia masuala ya ardhi ni nyingi .
Lakini sheria kuu ni sheria mbili ambazo ni SHERIA YA ARDHI (LAND ACT) namba 113 Kama ilivyoboreshwa mwaka 2002 na sheria ya ardhi ya vijiji (VILLAGE LAND ACT) namba 114 kama ilivyoboreshwa mwaka 2002.
Kwa mujibu wa SHERIA tajwa hapo juu ni marufuku kwa MGENI asiye raia kupewa ama kumiliki hati ya utumiaji ardhi (RIGHT OF OCCUPANCY) isipokuwa endapo tu ni kwa ajili ya uwekezaji tu.

Kachengcheng vifungu vya sheria hiyo hapo inajieleza ninyi manyang'au kuhusu suala la kumiliki ardhi ya Tanzania msahau kabisa ,mfateni Kenyatta awakatie zile ekari laki 5 walizojimilikisha .
Nikwambie kidogo tu uku pwani kuna mkenya alijimilikisha ardhi ekari elfu 15 kilichofata serikali ilichukua shamba lote na sasa hivi uyo mkenya karudi kwao.

NB:ARDHI NI MALI YA SERIKALI NA SIO YA VIONGOZI WA SIASA KAMA UKO KWENU

Stayfar Tony254 MK254 nguvu
eliakeem
 
Nyie jamaa miaka nenda rudi mmekuwa mkiimezea mate Ardhi yetu, tunamuasa Raisi wetu asije akaingia kwenye mtego wenu wa kutaka kuja kuwekeza kwenye masuala yahusio Ardhi, tutakuwa tumekwisha. Chonde Mama Samia, hawa wasikuhadae.
Uwekezaji watafanyia wapi sasa.?
 
Hakuna mtu kwisha labda ww ila tutawachapa kama South Africa wanavyo wafanyia wa Africa wa mataifa mengine

Back
Top Bottom