Wako madarakani kwa wizi wa kura, na hao askari ndio wanatumika kuhakikisha wanabaki madarakani kwa shuruti. Watapata wapi ujasiri wa kuzuia rushwa?Watanzania wamechoka maigizo. Sijui kuna watu wanaitwa Takukuru ! Yaani hongo za traffic za barabarani na stendi zimawashinda wataweza kupigana na hongo za mikataba🤦🏾♂️ huu ujinga jamaa hatuuoni.
Sasa serikali ikisema inapigana na rushwa rushwa gani hasa. Ni nani kafugwa kwa miaka yote ya Raisi Samia
Kiti cha rais hakai mkristo wala muislam... isipokuwa anayeitanguliza Tanzania tu....Tz ikiongzwa na muislamu hali inakuwa ivyo
Acha kuongopa....Hizo ripoti za CAG Huwa hata hazisomi akizipokea ndo imeisha hakuna ufwatiliaji
Unakumbuka enzi za mwinyi ilikuwaje?Kiti cha rais hakai mkristo wala muislam... isipokuwa anayeitanguliza Tanzania tu....
Sikumbuki nilikuwa mdogo sana ..Unakumbuka enzi za mwinyi ilikuwaje?
Basi tuliaSikumbuki nilikuwa mdogo sana ..
Sawa ..Basi tulia
Nadhani amesema kuwa ripoti ya CAG ya mwaka huu imeonyesha mafanikio makubwa katika vita dhidi ya ufisadiHizo ripoti za CAG Huwa hata hazisomi akizipokea ndo imeisha hakuna ufwatiliaji
Mtoaji na mpokeaji wote wana hatia-Mwenye Heri Baba wa taifa Julius Nyerere!Ukiwa na gari lako barabarani usitoe, chochote kinaanza na wewe
Hiyo hela ya brashi tu mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣Watanzania wamechoka maigizo. Sijui kuna watu wanaitwa Takukuru ! Yaani hongo za traffic za barabarani na stendi zimawashinda wataweza kupigana na hongo za mikataba🤦🏾♂️ huu ujinga jamaa hatuuoni.
Sasa serikali ikisema inapigana na rushwa rushwa gani hasa. Ni nani kafugwa kwa miaka yote ya Raisi Samia
Alipokueleza ubovu wa matairi ukamjibu nini ?!!Kwanza napenda kumshukuru Mama kwa hii miaka minne na pongezi nyingi sana kwa Uongozi wake.
Rushwa inawezakana kuisha
Trafiki,naomba leseni,...mie hii hapa..matairi yako yote mabovu..Amekaza nakuandikia fine aisee..nikawazaaa..😀😀...baadae kidogo ila Mkuu ubadili ee matairi sawa eee😀😀😀
Maneno haya ya hela ya BRASHI yalitamkwa na nani ?!!Hiyo hela ya brashi tu mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣