Mama Samia hata hongo za wazi za Matrafic zimekushinda?

Usije kujaribu Mkuu uchekeshaji huu unaendana na mambo madogo madogo😀😀
Ooo mkuu wangu najua hutaki kutueleza hayo mambo madogo madogo kwani "yanakuhusu binafsi na unayo pekee" hongera mkuu kwa kuwa na hiyo silaha ya "mambo madogodogo"!!
Nimekubali sitowajaribu hao jamaa ha ha ha
 
Ooo mkuu wangu najua hutaki kutueleza hayo mambo madogo madogo kwani "yanakuhusu binafsi na unayo pekee" hongera mkuu kwa kuwa na hiyo silaha ya "mambo madogodogo"!!
Mkuu nimebadilisha tairi lakini...mkono haukuwa mfupi kwenye fine ile ya 30😀😀😀
 
Watanzania wamechoka maigizo. Sijui kuna watu wanaitwa Takukuru ! Yaani hongo za traffic za barabarani na stendi zimawashinda wataweza kupigana na hongo za mikataba🤦🏾‍♂️ huu ujinga jamaa hatuuoni.

Sasa serikali ikisema inapigana na rushwa rushwa gani hasa. Ni nani kafugwa kwa miaka yote ya Raisi Samia
si sahihi nchi kuonozwa na mwanamke....mwanamke bado sana tena sana. KULENI KA UREFU WA KAMBA ZENU
 
Watanzania wamechoka maigizo. Sijui kuna watu wanaitwa Takukuru ! Yaani hongo za traffic za barabarani na stendi zimawashinda wataweza kupigana na hongo za mikataba🤦🏾‍♂️ huu ujinga jamaa hatuuoni.

Sasa serikali ikisema inapigana na rushwa rushwa gani hasa. Ni nani kafugwa kwa miaka yote ya Raisi Samia
Hakuna Rais hapa. Ni bomu tena la kienyeji
 
Mimi rushwa nitatoa sana tuu maana chuma yangu naijua mimi na muumba 😀😀😀

Uzuri mmoja hawataki nyingi 5k...
 
Watanzania wamechoka maigizo. Sijui kuna watu wanaitwa Takukuru ! Yaani hongo za traffic za barabarani na stendi zimawashinda wataweza kupigana na hongo za mikataba🤦🏾‍♂️ huu ujinga jamaa hatuuoni.

Sasa serikali ikisema inapigana na rushwa rushwa gani hasa. Ni nani kafugwa kwa miaka yote ya Raisi Samia
Trafic wanafanya waziwazi bila aibu
 
Kiti cha rais hakai mkristo wala muislam... isipokuwa anayeitanguliza Tanzania tu....
Umeongea pointi mkuu

Mimi huwa nawashangaa watu wanaowaona viongozi wa nchi hii kwa misingi ya dini

Huu ni ujinga sana, Inafahamika wazi, mtu yeyote akishakuwa Rais ama kiongozi kwa ngazi yoyote isipokuwa za kidini, huyo ni mwakilishi wa Watanzania

Na huyo kiongozi akiwagawa watu kwa dini zao, hafai na anapaswa kufurushwa haraka kwenye hiyo nafasi maana hafai anafaa kuwa kiongozi wa Dini
 
Nice elaborations !

Ubarikiwe mkuu wangu ,amen !
 
Back
Top Bottom