GE2025 Mama Samia jiamini, usikubali kufanyiwa maamuzi na mtu mwingine. Usikubali kuwa "A Madowman who set peaceful country ablaze"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
Na njia pekee ni kukubali tu kuachia kiti na kuacha taratibu zingine ziendelee. Fanya maamuzi yako mwenyewe ya bila kuingiliwa na mtu yeyote, kumbuka maamuzi sahihi yataifanya kesho yako iendelee kuwa njema.

Ukikubali wakakufosi kuendelea, na mkafosi kutangaza umeshinda na uendelee kuwa Rais, hakika litakuwa kosa moja baya la kimkakati.

Kumbuka, turnover ya watu kwenye vituo ilikuwa haifiki hata 1%.

Kumbuka pia ni siku ya 3 leo maandamano yanaendelea mitaani na dunia imeona kinachoendelea na kamwe Tanzania iliyokuwa inajulikana kama nchi yenye wananchi wapole sana siyo hiyo tena.

Mama fanya maamuzi personal, kumbuka ni wewe peke yako utakayebeba mzigo kwa chochote kitakachotokea. Hao wanaokufosi uendelee ni kwa maslahi yao binafsi na familia zao!

mangekimambi80-20251031-0003.jpg
 
View attachment 3496254

Kwanza kabisa sielewi kwa nini huyo bibi mshenzi mnamuita MAMA,hana hadhi ya kuitwa Mama kabisaa labda tu na genge lake la mafisadi na wauaji

Pili kwani huyo bibi baradhuli ana cheo gani kwa sasa?
 
Na njia pekee ni kukubali tu kuachia kiti na kuacha taratibu zingine ziendelee. Fanya maamuzi yako mwenyewe ya bila kuingiliwa na mtu yeyote, kumbuka maamuzi sahihi yataifanya kesho yako iendelee kuwa njema.

Ukikubali wakakufosi kuendelea, na mkafosi kutangaza umeshinda na uendelee kuwa Rais, hakika litakuwa kosa moja baya la kimkakati.

Kumbuka, turnover ya watu kwenye vituo ilikuwa haifiki hata 1%.

Kumbuka pia ni siku ya 3 leo maandamano yanaendelea mitaani na dunia imeona kinachoendelea na kamwe Tanzania iliyokuwa inajulikana kama nchi yenye wananchi wapole sana siyo hiyo tena.

Mama fanya maamuzi personal, kumbuka ni wewe peke yako utakayebeba mzigo kwa chochote kitakachotokea. Hao wanaokufosi uendelee ni kwa maslahi yao binafsi na familia zao!

View attachment 3496254
Tume yake itamtangaza mshindi hawezi kuachia nchi king'ang'a huyo
 
Back
Top Bottom