Najua kuna watu wengi pamoja na mimi binafsi tunamshangaa huyu Mama kubadilika sana kuanzia 2021. Sababu moja wapo inawezekana ikawa watu wake wa protokali ambao wanajiona sasa wenyewe ndiyo wana mlisha habari na kuzuia habari zisifike kwake.
Kitendo cha waziri wa elimu kulalamikia kwamba watu wa protokali walikuwa wanaweka mizengwe ili asikutane naye wakijua fika ataenda kumuambia mambo ambayo yeye angeweza kuyaona tofauti na hayapo kwenye agenda za hao wana protokali.
Mama Samia tusishangae amekuwa akibadilisha sana viongozi wa usalama wa taifa ni kwasababu anagundua mabyo alikuwa hajui. Kwasasa kwa watu wa ndani wana wasiwasi kwamba Mama analisha vitu ambavyo sio vya msingi.
Hata habari za mitandaoni anapelekewa vitu vya kumsifia tu. Mikutano wanamzunguka na wasanii machawa na watu wanaosubiri ajira kutoka kwake.
Hata wale wafanyabiashara ambao walikuwa wanamwambia ukweli Mama kama Rostam sasa wamewekwa pembeni na watu wa protokali ambao wanafanya kazi na mafisadi sasa wafanyabiashara waongeaji hawakaribishwi tena Ikulu maana wanaweza kupasua majibu na mama akajua wizi unao endeshwa na mafisadi.
Wataita wale wafanyabiashara kama wa Azam ambao hawaongei lolote. Lakini Mo na Rostam wamepigwa stop na watu wa protokali Mo ametishiwa na kuhamia Dubai kabisa hata akija ni kwa sirisiri.
Hata wale wanasiasa washauri kama Warioba, Ulimwengu watu wa protokali wamewapiga chini na kuwazuia hawapati nafasi ya kuongea na Raisi mambo ya kitaifa. Mtu pekee anayepewa nafasi ni Kikwete ambaye ana watu wake na agenda zake binafsi kwake na familia yake.
Tusishangae Makamu Mpango kunyamazishwa kiasi hiki hapewi nafasi hata ya kuongea siku hizi ni hawa watu wa protokali. Nyuma ya hawa watu ni mafisadi ambao kwanza Mama mwenyewe hawamtaki.
Tujiulize 4R za Mama hii sera zimeishia wapi ni hawa hawa watu wa protokali wamezika hiyo agenda. Sheria mpya Mama alikuwa na nia ya kuboresha sheria hawa watu wa protokali wakazima na kumtishia spika Tulia ambaye ni mchungu wa Madara na kufanya lolote kama roboti.
Mama asikobadilisha hawa watu wa usalama na protokali na kuweka watu ambao ni wazalendo na watamwambia ulkweli atashangaa na mambo ambayo yatatokea kwa miezi ijayo. Hizi cheka cheka za Mama kuanzia mwezi wa tano mtaona zinabadilika