Mama Samia: Mataifa yanajifunza mengi kutoka Tanzania, hata Marekani sasa ina Makamu wa Rais Mwanamke

Mama Samia: Mataifa yanajifunza mengi kutoka Tanzania, hata Marekani sasa ina Makamu wa Rais Mwanamke

Alipatikana kidemokrasia huyo Specioza?

Specioza Kazibwe​

From Wikipedia, the free encyclopedia


Jump to navigationJump to search
Specioza Kazibwe
6th Vice President of Uganda
Personal details
Specioza Wandira Kazibwe (cropped).jpg
In office
18 November 1994 – 21 May 2003
PresidentYoweri Museveni
Preceded bySamson Kisekka
Succeeded byGilbert Bukenya
Born1 July 1954 (age 66)
Iganga, Uganda
Political partyDemocratic Party
Alma materMakerere University
Specioza Naigaga Wandira Kazibwe, is a Ugandan politician and first female Vice President in Africa.[1] She was Vice President of Uganda from 1994 to 2003, making her the first woman in Africa to hold the position of vice-president of a sovereign nation. Dr. Specioza Kazibwe is also a Ugandan surgeon. She is also referred to as "Nnalongo", because of her twin daughters.[2] In August 2013, she was appointed by the United Nations's Secretary General, Ban Ki-Moon as United Nations Special Envoy for HIV/AIDS in Africa.[3]

Contents​

 
Ameyazungumza lini haya maneno? Ile siku ya wanawake duniani?

Au ndo mambo ya “kupiga jaramba”? Duh! Yani wakati rais anauliziwa, yeye ndo anajitokeza kwa “gear” hii?

Habari hizi nazo zinaongeza taharuki tu.
 
Anajaribu kututoa kwenye reli, mbona Liberia na Malawi zilikuwa na marais wanawake! Ulaya mawaziri wakuu (sawa na Rais) Asia tangu miska ya sitini!
Turudishe kwenye reli.
 
Mgombea Urais Marekani anateua mgombea Mwenza ambaye anaweza kuwa mpenzi wake tu lakini wakishinda basi anakuwa Makamu kwa hiyo ni Magufuli ndo ameiga America. America na Nchi nyingi duniani, ikiwa ni pamoja na Tanzania, wanawake mashijaa huwa wanajitokeza kugombea Urais nafikiri kwetu wakati umefika tupate Rais na Makamu wake wote wanawake maana tumeshuhudia Marais wanaume wanatuangusha kwa kupiga Siasa za maneno matupu badala ya kutatua kero za wananchi.

Makamu wa Rais wa Marekani hata wa Tanzania hawana kazi wanangoja tu watumwe na Rais lakini sanasana wanasubiri Mungu ampende zaidi Rais ashike Madaraka kuongoza nchi kama ilivyotokea kwa Johnson aliyekuwa Makamu wa Kennedy aliapishwa kuwa Rais mara tu Madaktari walipothibitisha Rais amefariki baada ya kupigwa risasi. Makamu wetu anafanya kazi ya Rais vizuri sana ingefaa awe kuliko aliye!
 
Hivi hawa huwa wanasema wanachofikiri au wanafikiri wanachosema au fikra zao na wanachoamini ni tofauti na matamko yao

Au wanachangamsha baraza
 
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amewataka wanawake wa Tanzania kujiamini kwani wanawake ni jeshi kubwa.

Mama Samia amesema mataifa mengi huko duniani hujifunza kupitia Tanzania ndio maana hata Marekani sasa ina makamu wa Rais mwanamke na hilo ni jambo jema.

Chanzo: TBC

Maendeleo hayana vyama!
Ila weusi ni wajinga sana sasa uke una impact gani kwenye utendaji

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amewataka wanawake wa Tanzania kujiamini kwani wanawake ni jeshi kubwa.

Mama Samia amesema mataifa mengi huko duniani hujifunza kupitia Tanzania ndio maana hata Marekani sasa ina makamu wa Rais mwanamke na hilo ni jambo jema.

Chanzo: TBC

Maendeleo hayana vyama!
Kama kabla ya Tanzania kuwa na vice president mwanamke mataifa mengine yalikuwa nao, iweje huyu mama ana-claim Marekani wameiga Tanzania? Sio kwamba waliiga kwengineko? Au kwa ujumla wake ikiwemo Tanzania? Huyu ndio mwanamke msomi akihamasisha wanawake wengine!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ingawaje Wikipedia haiaminiki sana, lakini ni source nzuri kwa kuanzia kupata ukweli.

List of elected or appointed female deputy heads of state
 
Back
Top Bottom