johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #61
Weka wewe hiyo clip tumuone Asha!Kubadili uongo kuwa ukweli hakusaidii kitu sawa , week clip ile .
Naanza kupata picha mantiki ya zile sifa za ...Ni mweupeeeee!Jiko la mkaa kazi yake ni kupika vitu ili viive na sio kukumbatiwa. CHADEMA, ni jiko la kuivisha agenda za haki, uhuru na maendeleo ya watu.
Sasa unalikumbatia jiko ili iweje? Hakuna jiko linafaa kukumbatiwa, iwe la gesi, umeme, mkaa nk.
Mantiki ya kauli ya Makongoro na Samia ni nini?
CCM wamezoea kukumbatiana kwenye mambo yao ya kishenzi, hivyo wanadhani kila mtu ana akili hizo hizo za kishenzi.
Duh.!Amechanganyikiwa na uroda wa Daudi Albert Bashite
Lisu anawarusha kichura ni yeye 2020 no story saiz tumeamuaMgombea mwenza wa CCM mama Samia Suluhu amesema anakubaliana na kauli ya Makongoro kwamba Chadema ni kama jiko la mkaa halikumbatiki.
Jiko la mkaa ukilikumbatia ama litakuunguza au kama halina moto litakuchafua kwa masizi.
Mama Samia alikuwa akizindua kampeni jijini DSM katika viwanja vya mwembe Yanga.
Source Channel ten
Maendeleo hayana vyama!
Ni kama unaota mchana!Lisu anawarusha kichura ni yeye 2020 no story saiz tumeamua
Jikaze na huo ndio ukweli ngumukumessaaaNi kama unaota mchata!
Ni baada ya kuwa na ukaribu usiofaa na BashiteAmemnukuu Makongoro Nyerere!